fugees
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 2,868
- 882
Umeamua kuja na pct yako na hesabu zako!Namba zimekupiga chenga kwahiyo ulivyoona percent ni fraction basi umeona ndogo kweli kweli!
FYI, sio 0.3% bali ni 0.02%... ni ndogo kuliko hiyo uliyotaja!!
Sasa turudi kwenye hesabu! Takwimu zinasema kwa mwaka wanasafirisha takribani tani 50,000.
Tani 50,000 = 50,000,000 kg
0.02% ya 50M = 10,000 kg... kwa mwaka>>> Kwa miezi 6 = 5,000kg za dhahabu.
Takwimu za leo, 1kg of gold ni takribani $40,400... zidisha mara 5,000 = $202,000,000
Tukichukua exchange rate ya Sh.2000, times 202,000,000 unakuta ni zaidi ya TShs. 400 Billion halafu wewe unashangaa 392Billion!!
Pole sana, inaonekana umeona maruweruwe tu hapo... it's not my problem!!!Umeamua kuja na pct yako na hesabu zako!
Hasara haipatikani kwenye product pekee, huwezi jua ni kwa namna gani Kwenye Stock Exchange wamedrop, huwezi jua wanazungushaje hela yao kila baada ya kuuza Makinikia na faida wanayoipata huko! Hawa ni WEZI,ndio, ila nyinyi sijui hata mpewe jina gani, ni zaidi ya Majizi, hawa hawakuiba pasipo msaada wenu, hebu punguzeni Unafiki kidogo tu! Wizi wao upo Kisheria, na Hasara mtailipa Kisheria!ACACIA walisema Dhahabu ni 0.3% tu, leo wanalia wamepoteza 80% ya their Business Tsh. 392B in 6 Months tu! Imagine17 year
Hawa ni Majambazi siyo Kampuni ya kuchimba Madini
Mi nimeelewaDuuh! Ungetulia kwanza ili uandike kwa usahihi ueleweke. Hadi spelling zimekushinda kisa haraka
Utakuwa mkenya wewe bila shakaYani kwa hili la makinikia CCM mmechanganya bangi na nywele za chini ya kiuno.Tulieni mkojoe upepo?
Sasa hivi mnawadai kodi zaidi ya mara 60 ya mtaji wao.Ngojeni tutawaona tu na nyie.
Umekulia jirani na mwajuma ndala ndefu! Sio kwa lugha hii
Mpaka mwaka unaisha 1Usd = Tsh. 4600
Mkuu miezi sita ina siku 180, kwa hiyo ni dola milioni 180, sasa kama dola moja ni 2200 yupo sahihi ni bilioni 390. Hata ripoti yao wamesema wamepoteza zaidi ya dola milioni 176....usiwe unajielekeza kupinga tu ili uwe upande wa Tundu.mhuuu, uongo mwingine jaman, hv ukiwa unapoteza USD 1m kila siku baada ya miezi 6 utakuwa umepoteza 392B? We kwel mahaba na kijan yamekuzid sn, hebu tupe source ya hicho ulichoandika.
Mbona unapiga hesabu bila kuuchenjua mchanga?Tatizo hesabu zimekupiga chenga kwahiyo ulivyoona percent ni fraction basi umeona ni ndogo kweli kweli!
FYI, sio 0.3% bali ni 0.02%... ni ndogo kuliko hiyo uliyotaja!!
Sasa turudi kwenye hesabu! Takwimu zinasema kwa mwaka wanasafirisha takribani tani 50,000 za makinikia.
Tani 50,000 = 50,000,000 kg
0.02% ya 50M = 10,000 kg za dhahabu kwa mwaka>>> Kwa miezi 6 = 5,000kg za dhahabu.
Takwimu za leo, 1kg of gold ni takribani $40,400... zidisha mara 5,000 = $202,000,000
Tukichukua exchange rate ya Sh.2000, times 202,000,000 unakuta ni zaidi ya TShs. 400 Billion halafu wewe unashangaa 392Billion!!
Kwa mfano wana zaidi ya kontena 1000 za mchanga na kontena moja ina thamani ya Tsh 300 million kwa makadirio ya ACACIA siyo kamati ya Magu vinginevyo ungecheza kwenye hesabu kubwa sanaACACIA walisema Dhahabu ni 0.3% tu, leo wanalia wamepoteza 80% ya their Business Tsh. 392B in 6 Months tu! Imagine17 year
Hawa ni Majambazi siyo Kampuni ya kuchimba Madini
Hasara mnayoipigia hesabu ni tofauti na kanuni walioitumia wahusika!Mkuu miezi sita ina siku 180, kwa hiyo ni dola milioni 180, sasa kama dola moja ni 2200 yupo sahihi ni bilioni 390. Hata ripoti yao wamesema wamepoteza zaidi ya dola milioni 176....usiwe unajielekeza kupinga tu ili uwe upande wa Tundu.
Image ya company mmeispoil.Kwa mfano wana zaidi ya kontena 1000 za mchanga na kontena moja ina thamani ya Tsh 300 million kwa makadirio ya ACACIA siyo kamati ya Magu vinginevyo ungecheza kwenye hesabu kubwa sana
kwa hiyo 1000 x 300,000,000= Tsh 300,000,000,000/=(Tsh 300 Billion)
sasa ukija kwenye hesabu ya kamati
unajiuliza swali rahisi tu kwa kusema kama kontena 277 ni Tsh 1.43 Trillion, je, kontena 1000 ni sawa na Tsh Ngapi?
kwa hiyo utasema (1000 x 1.43)/277= Tsh 5.16 trillion kwa mujibu wa kamati ya Magu kwa mfano wa kontena 1000
halafu kutokuuza mzigo siyo hasara kwa sababu bado iko kwenye stock yao.. labda kama inatokana na share zao kushuka na gharama zingine za storage na demmurages za makontena
Unaamini fedha zinazodaiwa ni za CCM,hazikuhusu.Kweli humu tunapoteza muda kujaddiliana na baadhi ya watu.Maumivu ya matendo ya ACASIA yanawaathiri wana CCM tu. Na uwezo mkubwa wa kujenga hoja yako ya kutetea ngozi nyeupe ni hiyo uliyoiweka. Mnastahili kuungana na Tsavingirai acha wengine tubaki na Jongwe Mugabe na wanaofanana naye.Yani kwa hili la makinikia CCM mmechanganya bangi na nywele za chini ya kiuno.Tulieni mkojoe upepo?
Sasa hivi mnawadai kodi zaidi ya mara 60 ya mtaji wao.Ngojeni tutawaona tu na nyie.
Tatizo hesabu zimekupiga chenga kwahiyo ulivyoona percent ni fraction basi umeona ni ndogo kweli kweli!
FYI, sio 0.3% bali ni 0.02%... ni ndogo kuliko hiyo uliyotaja!!
Sasa turudi kwenye hesabu! Takwimu zinasema kwa mwaka wanasafirisha takribani tani 50,000 za makinikia.
Tani 50,000 = 50,000,000 kg
0.02% ya 50M = 10,000 kg za dhahabu kwa mwaka>>> Kwa miezi 6 = 5,000kg za dhahabu.
Takwimu za leo, 1kg of gold ni takribani $40,400... zidisha mara 5,000 = $202,000,000
Tukichukua exchange rate ya Sh.2000, times 202,000,000 unakuta ni zaidi ya TShs. 400 Billion halafu wewe unashangaa 392Billion!!
Lazima umwelewe unayefananaye
Hizo hesabu zipo sahihi kwa 100%!Mbona unapiga hesabu bila kuuchenjua mchanga?
Anyway najua ni hamu ya kupata Noah.