zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 19,066
- 28,714
We naye huna unalojua kuhusu company law?? Hivi unajua maana ya subsidiary company???? Barrick ni kampuni mama na Acacia mining plc ni subsidy yake au sijui niite kampuni mtoto inayooperate chini ya barrick gold!!!!Barua imeandikwa na Acacia, mazungumzo yalikuwa kati ya rais na Barrick. Kwanini watu hawasomi?
Hivyo chochote kinachoamuliwa Acacia kinaathiri Barrick gold and vice versa