Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,360
- 38,870
Hakuna mtu anaetamani tushindwe. Kinachotuboa ni tabia ya Magufuli kuwa muongo muongo na kupenda misifa isiyo kuwa na mpango kwa wananchiHii vita imekosa maana baada ya kugeuzwa kuwa vita ya CCM vs chadema badala ya vita ya kiuchumi, wengine wanatamani magufuli ashinde wengine wanatamani ashindwe. Wasome kwa comments zao utawaelewa. Sio siri mnaboa.
Hebu fikiria jumatatu alivyohimiza watanzania wote tumwangalie akipokea ripoti na jinsi alivyokuwa anaongea kwa uchungu na kujifanya ameumizwa sana na wizi wa madini yetu halafu eti leo anakuja na ngonjera kwamba tunafanya mazungumzo. Mazungumzo na wezi? Foolish