MAGALEMWA
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 6,415
- 4,881
Kwani sasa hivi CCM na Magu hawaitafuni nchi bila huruma wewe ukiwa mfaidika?Ungejiuzulu hiyo Nafasi uliyokuwa nayo kupinga ufisadi uliokuwa CCM na serikalini wakati wako Leo siku Ya mashujaa Mimi ningependekeza jina lako liwemo mchumia tumbo wewe kwa nini ulikauka nchi inaliwa inaharibika wewe upo tu unasibiri muda ufike ustaafu upate kiinua mgongo?mwenyezi Mungu nakushukuru kunipa uvumilivu nisimporomshee matusi Ya nguoni huyu mzee mstaafu na nisipigwe ban na moderators
Taratibu za kitaasisi zilizosimikwa na wataalam zipo. Magu alikuwa humo kwa nini aliunga mkono ufisadi huo? Kwa taarifa yako Magu ni namba 1 fisadi siyo kwa mali tu bali na ukiukwaji wa madaraka kwa manufaa ya kundi lake. CCM ni mwamvuli tu ambalo wewe kwa ujinga wako unatoa povu kila mahali.
1. Nyumba za serikali kundi hilo hilo
2.Samaki wa Mgufuli
3. Kumpiga Janeti
4.Kusigina katiba na sheria za nchi CCM inakodoa macho tu.
5. Ukabila udini ukanda kupora bajeti na kutumia anavyotaka
6.Mauaji ya kisiasi na kuwabagua wenye mawazo mbadala
7. Kuunda makundi ya mtandao ya upotoshaji
8. Kushindwa kutumia pesa kama zilivyotengwa na bunge akiwa waziri
9. Mavuno ya kutoka kwenye vivuko na mizani.
10. Mfano wa karibu kuvuruga uchumi kwa kuanza ugomvi na wa wawekezaji kwenye sekta zote.
11. Anajitahidi kudhibiti upinzani
Ongezea mengine kama umebakia na akili kidogi