Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Dunia hii hakuna jipya, haya Makampuni Dunia nzima hufanya mambo yale yale kwa kutumia mbinu zile zile!
Na jambo moja ambalo hufanya ni siku zote kutumia maelite ambao ni locals au wenyeji wa nchi husika kuwawakilisha, yaani kuwa kiungo kati yao na Serikali husika, na hawa locals hulipwa vizuri sana ukilinganisha na Waajiriwa wengine, sasa hawa ndiyo huwa wasemaji wakuu, watetezi wakuu, tunaona kwa mfano Nigeria hawa watetezi wa maglobal capitalists mpaka walimuua kwa kumyonga Ken Saro-Wiwa, Ken Sarowiwa hakunyongwa na Mzungu wa Oil company Shell, bali alinyongwa na Mwafrika mwenzake Serikali ya Nigeria, na kosa lake lilikuwa ni kutetea maslahi ya Wananchi wa Ogoni (Nigeria) eneo ambalo mafuta yanachimbwa, ambapo Wananchi wa eneo hilo hakuna kitu wanapata ingawaje Mafuta yanachimbwa hapo kwa miaka kibao!
Ndiyo maana hata hapa nyumbani kamwe huwezi kuona sura ya Mzungu kwenye hili sakata akisema chochote, wanaomsemea ni house niggas ambao hulipwa vizuri na Mzungu, ili kujenga imani kwa Wananchi na kukiamini kile Mzungu anachokitaka, kwani kama Mzungu ndiyo akijitokeza kutetea, tayari Wananchi wataona ni ukoloni hivyo Mzungu hutumia house niggas, siyo jipya hili!
Na kila mahali ni same story ukienda Ghana Ashanti Gold walifanya hivyo hivyo wanaajili local elites wanwalipa vizuri halafu wanwatumia hawa local elites kuteteta maslahi yao!
Hivyo hata hapa nyumbani haiwezi kuwa tofauti tulipata kionjesho wakati wa Gesi haitoki Mtwara na wale wale waliokuwa upande wa Mzungu ndiyo leo hii wako upande wa Acasia kutetea na kuja na theories kibao, tena mtu kama Zito Kabwe amekwenda mbali zaidi na kudanganya wazi wazi kwamba Serikali yetu imepoteza Trilioni kibao kwa kusitisha usafirishaji wa huu unaoitwa mchanga, ingawaje theory yake inaweza kuwa destryoyed mara moja na mtoto wa Darasa la tano, inaacha maswali mwengi klk majibu, lkn ndiyo wale wale waliomnyonga Ken Saro- Wiwa kumtetea Mzungu!
Tusisahau waliokuwa wanamtetea Mzungu dhidi ya Tanesco yetu na waliotajirika kwa kulipwa mabilioni ni law firms za Kitanzania ambazo ndizo zilizomteua Tundu Lisu kuwa Kiongozi wa TLS, ndizo zilizotoa fedha chadema na hata Sanare alihamia chadema na huu ndiyo mmoja wa Wamiliki wa hizi la law firms ambazo zina cash in, huku sisi tukikosa umeme, wakati huo huo kuiendelea kuwalipa Mabilioni kila siku ...
Ken Saro-Wiwa - Wikipedia