AC Milan vs Asernal - UEFA Champions League

Wakuu ratiba ya uefa imekaaje mbona sioni chelsea, Madrid wanacheza lini, ratiba imepangwa vp, naangalia goal.com sioni kitu.
 
Nilikuwa nategemea utaimuvuzisha hii thread kule kwenye jukwaa husika la Arsenal. Nashangaa tena wewe ndio umekuwa wa kwanza kushadadia.

With this kind of moderation sijui tunaenda wapi. Just sayn!
Utakuwa ni mwathirika wa matokeo haya si bure. Arsenal ina jukwaa lake humu JF?

BTW, si uungwana ku-merge threads kubwa kubwa ilhali some matches zinaweza kuwa zinajitegemea. Naamini umeona maboresho yalofanyika kwenye thread husika.

THINK!
 
Hayo ni makosa madogo madogo tu..nilikuwa namaanisha uzi or thread. Mbona thread nyingine huwa mnaziunganisha?
Yaelekea haya matokeo yamekufurahisha sana..naona mpaka unaipamba pamba title ya hii thread kila dk!
 
sasa kama we umekasirishwa na matokeo unataka kila mmoja akasirishwe!?
 
Nia yangu ni huu uzi uunganishwe. Kila mtu akianza kuleta matokeo ya kila match inayochezwa na timu aipendayo, hili jukwaa la sports unategemea litakuwa na hali gani?
 
Poleni Asernal. lakini bado mna nafasi. jipangeni, ndani ya wiki mbili mnaweza kushangaza dunia kwa kuifunga AC.MILAN goli 5 - 0. Mungu atawajaria msikate tamaa.
 
Hayo ni makosa madogo madogo tu..nilikuwa namaanisha uzi or thread. Mbona thread nyingine huwa mnaziunganisha?
Yaelekea haya matokeo yamekufurahisha sana..naona mpaka unaipamba pamba title ya hii thread kila dk!

sio mara ya kwanza kwa moderators kulekebisha heading za thread zilizo kaa vibaya. labda wewe una unachokitafuta kwa invisible sio hii thread. hebu tuache kidogo bana.
 
Nilikuwa nategemea utaimuvuzisha hii thread kule kwenye uzi husika wa Arsenal. Nashangaa tena wewe ndio umekuwa wa kwanza kushadadia.
With this kind of moderation sijui tunaenda wapi. Just sayn!

tuandamane/tugome
 
Nia yangu ni huu uzi uunganishwe. Kila mtu akianza kuleta matokeo ya kila match inayochezwa na timu aipendayo, hili jukwaa la sports unategemea litakuwa na hali gani?

Kufungwa kubaya, halafu dose nene!! four o'clock sio mchezo.
 
Hongera zangu kwa Arse"nne"! Wamejitahidi kweli, wangejilegeza wapigwe nane ingekuwa ngumu kugeuza matokeo Emirates...bado mna nafasi watani!
 
Nilikuwa nategemea utaimuvuzisha hii thread kule kwenye uzi husika wa Arsenal. Nashangaa tena wewe ndio umekuwa wa kwanza kushadadia.
With this kind of moderation sijui tunaenda wapi. Just sayn!

Arsenal uharo tu.
Hii thread acha ining'inie hapa hapa, ili kila mzalendo aione.
hakuna kuipeleka kwenye special thread ya AC Milan wala Arsenal.
Iachwe hapa hapa, na Invisible inakshi na mapicha maridhawa ya kipigo cha Mbwa Shoga ndani ya fensi kilichowapata wafurukuta na wafiligiswa wa Arsenal toka kwa klabu yenye mafanikio zaidi ya Vikombe hapa nawazungumzia AC Milan, watoto toka Barabara ya Turati mjini Milan Italia.

Forza Milan
 
Back
Top Bottom