Abuse/ Insulting children

Abuse/ Insulting children

Theodora

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2009
Posts
806
Reaction score
584
Habarini WanaJF.

Kuna tukio nimeona mchana huu, yaani imenichefua. Baba mzima anamtukana kabisa mtoto, na kucheck mtoto anayetukanwa ni kama miaka minne, mtoto anabaki analia. Sijui ni kosa gani lakini kweli is this normal behaviour?

Labda mimi sielewi lakini ci mambo kama haya baadaye huaffect watoto. Tunalaumu watoto but sometimes we never know what imprints are left by some adults who call themselves parents.

Please WanaJF tuwemstari wa mbele kuwatendea haki watoto.

Have a great week.
 
Hata mungu huwarudi wanaoenda kinyume, mtoto yake fimbo
 
Kuna watu wanaamini kumpiga mtoto ni part of their education.
Pia "shaming children" kama kumtukana au kumzomea, ni sawa.
 
Hiyo siyo sawa kabisa. Na inaweza kupelekea mtoto kumchukia huyo mzazi anayemtukana na kumfanya ajione hana thamani.
 
Back
Top Bottom