Ni vitu ambavyo viko sana kwenye jamii yetu
- Verbal abuse (matusi),
- Physical abuse (kimwili),
- Sexual abuse(unyanyasaji wa ngono,)
- (Neglect)kutelekezwa)
- Hate (chuki)
ni vitu ambavyo vinatokea kila saa, tonaona jinsi watoto wetu
wanavyo danganywa na wazee wazima, tunaona jinsi mama zetu
wanavyopigwa na kutukanwa, tunaona jinsi watu wanavyotengwa na jamii
sababu ya vitu wanavyofanya au jinsi walivyo na ambayo ipo kila sekunde
ni sisi kwa sisi kuchukiana .
wandugu ningeomba sana leo tuongelee hizi Dhuluma..
Nini kinampeleka mtu kufanya haya mambo??
Je kila afanyaye haya mambo ni mtu mmbaya??
na ni vipi tunaweza kuwasaidia waliokuwa kwenye hizi
situation .... You are more than welcome to share anything....
(samahani wakuu ningeomba sana tutumie lugha ya kiswahili na English kidogo)
(ili kila mtu aelewe )
AD
wandugu ningeomba sana leo tuongelee hizi Dhuluma..[/I]
Nini kinampeleka mtu kufanya haya mambo??
Je kila afanyaye haya mambo ni mtu mmbaya??
na ni vipi tunaweza kuwasaidia waliokuwa kwenye hizi
situation .... You are more than welcome to share anything....
(samahani wakuu ningeomba sana tutumie lugha ya kiswahili na English kidogo)
(ili kila mtu aelewe )
AD
Naomba niwasilishe hoja binafsi kabla ya kuchangia. Kitumike kiswahili tu kwenye michango, tena kiswahili fasaha sio cha kumun'gunya maneno. Sisi wengine ni maimuna hatujui lugha za wageni
Topic
Ngoja nivute stimu nijifanye nimetukanwa na kutemewa mate, kumwagiwa tindikali halafu ntakuja na jibu zuri . . .
Nyie watu AD kaleta mada mbona mnakimbia?
AD umeuliza swali la msingi sana ambalo maelezo yake ni marefu sana ambayo yanaweza kutofautiana kutokana na sehemu, jamii n.k. husika.
Nitachangia kidogo sana
AD hivyo vyote ulivyovitaja vina chanzo chake ikiwemo hulka ya mtu yaani mnyanyasaji, mbabe, dhulumat n.k HAta hivyo haya yote yanachangiwa na sisi wenyewe kama wanajamii............... nakumbuka kuna mwandish mmoja alikuwa anazungumzia gender violence alisema "dhulumat, uonevu na manyanyaso yanayotokea ndani ya familia yanachukuliwa kama ni maswala ya familia ambayo hayatakiwi kuzungumzwa hadharani" hii inazuia watu kuwa na nguvu na sauti ya kuyakemea.............
nikiweza nitarudi AD
Ni vitu ambavyo viko sana kwenye jamii yetu
- Verbal abuse (matusi),
- Physical abuse (kimwili),
- Sexual abuse(unyanyasaji wa ngono,)
- (Neglect)kutelekezwa)
- Hate (chuki)
ni vitu ambavyo vinatokea kila saa, tonaona jinsi watoto wetu
wanavyo danganywa na wazee wazima, tunaona jinsi mama zetu
wanavyopigwa na kutukanwa, tunaona jinsi watu wanavyotengwa na jamii
sababu ya vitu wanavyofanya au jinsi walivyo na ambayo ipo kila sekunde
ni sisi kwa sisi kuchukiana .
wandugu ningeomba sana leo tuongelee hizi Dhuluma..
Nini kinampeleka mtu kufanya haya mambo??
Je kila afanyaye haya mambo ni mtu mmbaya??
na ni vipi tunaweza kuwasaidia waliokuwa kwenye hizi
situation .... You are more than welcome to share anything....
(samahani wakuu ningeomba sana tutumie lugha ya kiswahili na English kidogo)
(ili kila mtu aelewe )
AD
My dear
kwanza nashukuru sana
kwa wewe kuweka mawili matatu ya muhimu
naona kila mtu anachapa mwendo mmmhhhh
sehemu iliyonivuta zaidi ni hapo kwenye red..
Nadhani hilo ndilo tatizo kubwa tulilo nalo nafikiri
kwa vile ni baba yangu na mume wa mama yangu
kila afanyacho kinabaki ndani ya nyumba hatutaki kumvunjia kheshima
au kila mtu anaona familia yetu ni nzuri sana basi hatutasema lolote.
au ni watu tu wanaogopa?......
ukiweza kurudi naomba unijibie hili swali dear..
nini tofauti kati ya punishment ya kawaida na abuse ???
maana naona wengi wanachanganya sana haya..
haya ukiweza ntakuwa hapa nakusubiri asante tena..
AD Nimependa observation yako...
Nini kinampeleka mtu kufanya haya mambo??
Naamini situations tofauti na wahusika tofauti ndo hupelekea kufanya hayo mambo.. Binadamu tumetofautiana, kuna wale wapole mno hata uwafanye nini anakuangalia tu na si kama anapenda ila naturally kaumbwa kua hivyo passive.. kuna wengine yeye kazi yake ni kutumia watu always kwa manufaa yake (US ingekua mtu ingekua mfano mzuri) hajali ataumia au lah! hapendi au lah! etc.. Kuna wengine ukimgusa tu umewasha moto wa petrol kuzima kazi ipo... Kuna wengine wao hawajali nini unawafanyia labda kama kitamuathiri negatively ndo ana react... na wengine wengi... Hivyo kupelekea watu kua na matendo tofauti towards the same thing....
Je kila afanyaye haya mambo ni mtu mmbaya??
Sasa ugumu ndo unakuja hapo, mana pande mbili zinapokua in logger heads lazima wote wana watu wao ambao wanaona kua mbaya ni yule ambae yuko against mtu wao.. But logically kwa mtu ambae hajali kua muhusika ni wa karibu wako au lah, lazima uangalie nature ya tatizo lililotodea na nature ya huyo mtu wako. For instance mtu wako ni mpole mno na ni mtu wa ku ignore siku ukisikia alimaka na kumtukana mtu - you will directly justify kua ni lazima alionewa na alikua na haki.
But nikitolea mfano wa sexual harrassment (mo' common ni wanaume kwa wanawake) inategemea. Unakuta maybe mdada anaonesha wrong signals kwa jamaa wanaefanya kazi office moja - smile kwa sana, mara umeinama kidogo ukilekeza body parts kwa the guy etc. Kaka zetu hawa ambae ni lijali anaweza fikiri wamtaka hivyo sikumoja nae anagusa firmly boobs zako - alafu unakimbilia management kua you have been sexually harassed - nani mbaya hapo?
na ni vipi tunaweza kuwasaidia waliokuwa kwenye hizi
situation ....
AD kwa perspective yangu kuweza kuwasaidia inabidi kuangalia tatizo, wahusika na source ya hilo tatizo kwa undani na bila bias...
Chanzo cha yote hayo ni ubinfsi uliopitiliza miongoni mwa mtu na mtu, familia, jamii na ha kitaifa. Njia pekee ya kuleta mabadilko sahihi ni viongozi wa kitaifa kuishi maisha yanayoweza kuigwa na wale wanaowaongoza ili waliopo chini wafuate.
.......................................................................................................................................................AD Nimependa observation yako...