Absalom Kibanda amnanga Tundu Lissu, asema Zitto amechezewa mchezo mchafu

Status
Not open for further replies.
No wonder huyu jamaa aling'olewa kucha bila ganzi na kuharibiwa jicho lake moja. Anaona mbali huyu jamaa. Haya aliyaandika mwaka 2009, leo yanajitokeza kwa uwazi kabisa. Endapo mpango wa Zitto wa kuisambaratisha CDM utafanikiwa, basi historia itamhukumu huko mbeleni.

Tiba
 
Halafu akaajiriwa na HUSSEIN BASHE kada wa CCM kwenye taasisi inayomilikiwa na ROSTAM AZIZ kada wa CCM akitokea kwenye taasisi inayomilikiwa na FREEMAN MBOWE kada wa CHADEMA?

Rostam Aziz na Mbowe ni marafiki wakubwa sana mpaka RA kumpatia mil 100!,kwa ajili ya kampeni za CHADEMA!!

Hilarious!
 
Nimeipenda sana hii ya Kibanda, tatizo letu wtz uvivu wa kusoma na kusahau ndo unatutesa, Zitto ni mtu hatari sana kwa chama
 
Kazunguka sana ila hajaeleza ni kwa vipi kugombea uongozi kwa Zitto kungedhohofisha chama

Kakazana mara UVCCM,mara wafuasi wa Zitto....haeleweki..,kifupi sijamwelewa.

Huyu kweli alikuwa anatetea ajira yake!

Hakuandika ili kila mtu amwelewe. Wewe ni mmojawapo ya wale ambao hakutaka wamuelewe.

Tiba
 
Kazunguka sana ila hajaeleza ni kwa vipi kugombea uongozi kwa Zitto kungedhohofisha chama

Kakazana mara UVCCM,mara wafuasi wa Zitto....haeleweki..,kifupi sijamwelewa.

Huyu kweli alikuwa anatetea ajira yake!
Ni mwenye akili kubwa tu ndo anaweza kuelewa hapo wewe ya kwako naona ni ndogo sana
 
Tatizo la Tanzania watu wenye karama fulani huzitumia vibaya kwa manufaa yao.Unaweza kukuta mwandishi huyu huyu ukichukua makala zake za sasa na hizo za zamani HUTAPA sura yake halisi!! Hawawezi kusimamia wanachoamini!
 
Mimi nimelewa .Unaweza kuamua kutoelewa vile vile.
Kazunguka sana ila hajaeleza ni kwa vipi kugombea uongozi kwa Zitto kungedhohofisha chama

Kakazana mara UVCCM,mara wafuasi wa Zitto....haeleweki..,kifupi sijamwelewa.

Huyu kweli alikuwa anatetea ajira yake!
 
Ni mwenye akili kubwa tu ndo anaweza kuelewa hapo wewe ya kwako naona ni ndogo sana

Sasa wewe na Tiba ambao ndo mmemwelewa nipeni sababu moja tu aliyoiandika kwenye hiyo makala ambayo ingeiua CHADEMA na kumpa ushindi wa zaidi 80% Kikwete kisa Zitto kuwa Mwenyekiti

Huyu mtu hajatoa sababu yoyote zaidi ya kuzunguka pale pale,mimi namuona kama mchumia tumbo tu,ambaye alikuwa anatetea ugali wake kisa anafanya kazi kwenye "gazeti la Mbowe" ambalo kalianzisha kwa pesa za "msaada" kwa CHADEMA!
 
Last edited by a moderator:
Mimi nimelewa .Unaweza kuamua kutoelewa vile vile.

Nielewesheni na mimi sasa hicho mlichoelewa kama kweli mmeelewa,au ndo mnaongozwa na ushabiki

Leo mnaumia kisa Zitto anapendwa na Watanzania wote haijalishi na CUF,CCM au CHADEMA mnaanza kuuliza wanampendea nini hao maadui,wakati mwenyekiti 'wetu' anapewa na pesa kabisa!

Au hujui kama Mbowe kashakula zaidi ya mil 300 za hao mnaowaita mafisadi,the fun thing is,hata Dr Slaa hajala hata kumi katika hizo pesa au labda ni zile alizojikopesha bila riba who knows!?

Nashangaa sana vichwa vyote vilivyopo pale administratio block kuingizwa king na form four failure,wakaenda kukopeshwa pesa za kifisadi kwa riba kubwa
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom