Taswira
JF-Expert Member
- Sep 23, 2012
- 1,198
- 447
Absalom Kibanda
10 minutes ago via iOS "NAMTAFAKARI ZITTO KABWE: Hivi huyu kijana anastahili matusi, kejeli na dhihaka za namna hii kutoka kwa akina Tundu Lissu na viongozi wengine wa Chadema!!?? Ni stahili yake kuitwa msaliti? Ama kweli siasa ni mchezo mchafu na usio na shukrani".
Ni maneno ya Mwandishi na Mhariri wa habari Kibanda aliyemkacha Mbowe na kwenda sehemu salama(mtanzania).Kwangu mimi naamini Kibanda anatambua uwezo mdogo wa Lissu na Mnyika,anatamba namna zitto alivyowapangusa kamasi akina Lissu na Mnyika kwenye siasa za Chadema ndani ya nchi hii.Zitto si mtu wa kuzungumzwa kitoto kitoto na watu kama Lissu na Mnyika,Msigwa,sugu na wabunge wengine wote wa chadema na Viongozi wake.
Zitto hata hafanani kimuundo,ustawi,ubora,mvuto n.k na hawa watoto wa siasa,lakini MAAJAB YA CHADEMA ETI MTOTO ANAMFUNDISHA BABA NAMNA YA KUMLEA MAMA YAKE.
Akina KILEWO,HECHE N.K ni vijitu vidgo sana kwenye uzani wa siasa na zitto.lakini Wanakesha mitandaoni kujitutumua eti nawao waoneakana angalau wanakaribiana na zitto.Amini Amini nawambieni Kumzodoa zitto ni kukata tawi mlilolikalia hapo CHADEMA.