Who are they: Mbowe, Sitta, Slaa, Zitto, Mwakyembe, Kubenea, Lissu, Rostam... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Who are they: Mbowe, Sitta, Slaa, Zitto, Mwakyembe, Kubenea, Lissu, Rostam...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Samvulachole, Jun 19, 2007.

 1. S

  Samvulachole JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2007
  Joined: Oct 22, 2006
  Messages: 410
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  Freeman Mbowe:

  Kuna nyeti kuwa madeni yamezidi na sasa hivi yuko bize kuyahamisha na kubadilisha ownership toka binafsi kuwa ya kampuni and so on.

  Lakini waliomdhamiria nao washachoka, kwani kuna institute moja inamdai zaidi ya bilioni 3. Hili linanitia hofu kwani kwa Upinzani ambao ni credible kama wa CHADEMA kiongozi akishaanza kuwa na matatizo ya kifedha unajua inakuwa ngumu hata ku FOCUS.sasa jamani akina ZITTO na JJ NAOMBA mnitulize roho kwani hiii inanitisha, na hivi wakimngangania itabidi auze assets za Chama au itakuwaje?
   
 2. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #2
  Jun 19, 2007
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Ni kweli, katika hali kama hiyo ni vigumu kuongoza na anaweza kutumia nafasi yake ya uongozi kutatua matatizo yake binafsi.

  Hata hivyo fafanua zaidi kuhusu jambo hili - lete ushahidi thabiti au data za uhakika.
   
 3. Domo Kaya

  Domo Kaya JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2007
  Joined: May 29, 2007
  Messages: 530
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Unauhakika na unachokisema ndg chamvulachole...... tuwekee visibitisho ili tuwe na uhakika na tujue jinsi ya kuchangia mada.
   
 4. M

  Mugongo Mugongo JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2007
  Joined: Nov 8, 2006
  Messages: 223
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Of course hili la madeni makubwa na ya kutisha linaeleweka muda mrefu sana. Moja ya Taasisi zinazomdai pesa huyu bwana ni NSSF ("pesa za walalahoi" sound familiar?). In fact kesi iko mahakamani na vielelezo vya kutosha vipo kwamba huyu bwana amekuwa anarusha kesi kwa legal technicalities to avoid paying the full debt.

  Lakini, as Mwanakijiji would say, "haya ni mambo binafsi"!
   
 5. M

  Mkandara Verified User

  #5
  Jun 19, 2007
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Samvu,
  Sijakuelewa kabisa unaposema Freeman yupo ktk hali mbaya kiuchumi.
  1. Hayo madeni yametokana na investment zipi?
  2. kisha Institution gani inayomdai hizo billioni 3!..
  3. Hizi billioni 3 ni dollar ama shilingi?..
  4. Anataka kubadilisha Ownership toka binafsi kuwa ya kampuni? una maana gani hapa kwani binafsi sio kampuni? au una maana kwenda Public. Ni kampuni gani hiyo binafsi?

  Tupe habari zinazoweza kumezeka....naona kichefuchefu tu, samahani lakini!
   
 6. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #6
  Jun 19, 2007
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  mugongo, sasa unaanza kufanya vile watu makini kama wewe hawapaswi kufanya. Na inaonesha ni jinsi gani nimeshindwa kabisa kukufundisha ni kwa misingi gani jambo ni "binafsi" na wakati gani siyo hivyo. Kwa mtu ambaye ni makini kama wewe nina uhakika unaelewa kuwa kuna mambo binafsi na mambo siyo binafsi lakini ya mtu mwenyewe. Everything that is personal, is not necessarily private! This issue if it were true, is personal but not private and hence interested parties wanaweza kabisa kutaka kujua nini kinaendelea na hao nitaunga mkono kwani implication yake ni nzito mno.

  Vinginevyo utanilazimisha nianze kutoa somo la Personal vs private...
   
 7. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #7
  Jun 19, 2007
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Kama ni kweli tumekwisha! NA serikali itamkalia koonio.

  Au ndo ule msemo wa Sumyae.. Wafanya biashara mkitaka mambo yenu yawanyookee njooni CCM!

  Upinzani utakufa!
   
 8. S

  Samvulachole JF-Expert Member

  #8
  Jun 19, 2007
  Joined: Oct 22, 2006
  Messages: 410
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  unajua unachokifunua eeeh????

  [​IMG]
   
 9. Dua

  Dua JF-Expert Member

  #9
  Jun 19, 2007
  Joined: Nov 14, 2006
  Messages: 2,481
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Samvula umeingia na gear mpya.....Duh?

  Hata kama ni madafu ni kiasi cha £1.2million sasa kama anadaiwa yeye binafsi alikopa kwa biashara gani? Je ame-compromise uongozi wake kutokana na deni hili?
   
 10. M

  Mugongo Mugongo JF-Expert Member

  #10
  Jun 19, 2007
  Joined: Nov 8, 2006
  Messages: 223
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwenye biashara madeni ni jambo la kawaida. Kwenye biashara ya familia (kama sio PLC) kufilisika is your own responsibility na hakuna anayepaswa ku-bother. So, let the man alone on this.

  Now, kama the way madeni yalivyokuwa accrued ni kwa njia ya ujanja ujanja, na kama company ime-fail kwasababu ya uzembe na misguided priorities (shule, siasa, and biashara at once!), then we have to question this man's capacity to lead the nation, something he craves.

  Kuna mtu mmoja aliniambia kwamba, in Bongo, business is synonimous with scandal. If that is correct, then there is a lot we have yet to see from Chairman Mbowe.
   
 11. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #11
  Jun 19, 2007
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mkandara,

  Vipi unataka kusaidia kulipa kama ni dola?

  Asubiri kuwa RAHISI wa WADANGANYIKA na atazilipa kwa muda mfupi kama MKAPA
   
 12. Kitila Mkumbo

  Kitila Mkumbo Verified User

  #12
  Jun 19, 2007
  Joined: Feb 25, 2006
  Messages: 3,347
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Naona na sisi tumeamua kuwa kama waandishi wetu-to "sensationalise" kila kitu. Inakuwaje tuanze kujadili utupu?!
   
 13. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #13
  Jun 19, 2007
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kitila,

  Kwanini unaona huu ni utupu? scandals zote zinaanza na rumours.

  Yote yote yanawezekana, inaweza kuwa ni uongo tu lakini pia kunaweza kuwa na ukweli.
   
 14. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #14
  Jun 19, 2007
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Kwa trend tulizoona ambapo viongozi wametumia nafasi zao kujitajirisha, watanzania tuna haki ya kuhoji kama kiongozi anaonekana kuwa na welekeo wa kutumia nafasi yake vibaya. Kwa mfano katika hali ya kudaiwa, ni dhahiri kuwa anaweza kutumia nafasi yake kumaliza madeni hayo. Hata hivyo ndiyo maana nikasema inategemea na data zilizopo. Kuna madeni ya kawaida ambayo ni swala la muda tu yatalipwa, na madeni sugu ambayo yanahitaji njia mbadala ili kulipwa; haya ya pili ndiyo ya kuogopwa.
   
 15. M

  Mugongo Mugongo JF-Expert Member

  #15
  Jun 19, 2007
  Joined: Nov 8, 2006
  Messages: 223
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hizi sio rumours. It is public knowledge kwamba Mbowe anaidaiwa sana na kwamba ana kesi mahakamani na NSSF juu ya kushindwa kulipa deni na NSSF wana judgement tayari. Sasa Bwana Kitila kama una kengeza inapokuja habari ya CHADEMA that is one thing, lakini sio busara wala heshima watu wakileta habari hapa kuziita "utupu".
   
 16. M

  Mkandara Verified User

  #16
  Jun 19, 2007
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Viongozi wote wameiba wakiwa na nafasi zao tena matajiri. Mkapa hakuwa na madeni, Mwinyi, Sumaye, Yona, EL, Chande na Bilal wote hawa ni matajiri tosha kabisa kbla ya Uhjumu wao. Hakuna mtu mbaya duniani kama tajiri asoridhika. Maskini mie nikiiba dola elfu ishirini tu nitakimbia na kuhamia Dubai! wizi wa mwanzo na mwisho!...

  Freeman anafanya biashara ndogo sana yenye return kubwa vibaya sana. I have been in that business na nakuambieni Freeman katengeneza fedha vibaya sana kwa mtaji mdogo!..Sidhani kama investment zake zimefika Billioni 3 in total cost! ila nina hakina anaweza tengeneza billioni 3 chini ya miaka mitano.
  Hata hivyo, kama alivyosema Mwanakijiji hapa sio mahala pake unless tupeni habari kamili za deni la NSSF!
   
 17. S

  Samvulachole JF-Expert Member

  #17
  Jun 19, 2007
  Joined: Oct 22, 2006
  Messages: 410
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  Na hiyo mipesa anayodaiwa na NSSF inatish, sasa najiuliza hivi ma accountants wake wanafanya kazi gani? na kule Mahakamani naona hana hoja tena kwani imebaki order tuu ya kuchukua assets zake
  Patamu hapo!
   
 18. M

  Mugongo Mugongo JF-Expert Member

  #18
  Jun 19, 2007
  Joined: Nov 8, 2006
  Messages: 223
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Lakini kama nilivyosema awali, inawezekana kabisa hili deni na namna lilivyopatikana na uwezekano na kwa namna litakavyolipwa visiwe na impact on Chairman Mbowe's ability as a leader. Vilevile inawezekana yote haya yasiwe yana reflect umakini wa Mbowe kama mfanyabiashara na kama mwanasiasa. The jury is still out.
   
 19. S

  Samvulachole JF-Expert Member

  #19
  Jun 19, 2007
  Joined: Oct 22, 2006
  Messages: 410
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  Ohh nimesahau kumention kuwa na hao Scotland Yard nao bado wanaye kwani jina lake limeibuka kwenye kesi ya criminal hapa London.Na hao jamaa wa Trident sidhani kama watampa nafasi ya kupumua
   
 20. M

  Mugongo Mugongo JF-Expert Member

  #20
  Jun 19, 2007
  Joined: Nov 8, 2006
  Messages: 223
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Duh, hii mkubwa sasa kali na itabidi niitafune na liupawa kubwa la chumvi!
   
Loading...