Ng`wanakidiku
JF-Expert Member
- Apr 18, 2009
- 1,195
- 232
Nani kamchochea nini? Hawajui kuwa serikali ndiyo inachichmbia kaburi? Hivi hawaoni mifano akida Mubaraka walivyonyanyasa vyombo vya habari na matokeo yake? Serikali pumbavu sana hii.
Hii nchi bana....kesho utasikia Yo YO korokoroni kwa kuwa member wa JF......
In fact si kwamba amekamatwa. Aliitwa kwenda kuhojiwa kutokana na makala iliyoandikwa na Mwigamba ambaye ana kesi ya uchochezi. Mpaka sasa hivi mahojiano yanaendelea, labda yatakapomalizika ndo wanaweza kumweka chini ya ulinzi.Mwenye details aweke basi, .....haitoshi kusema kuwa Kibanda kakamatwa!!
Litabaki Uhuru na Hbari leo maana hayana habari za uchochezi, isipokuwa yanatoa habari zinazowafanya wananchi wawapende watawalaKwa staili hii, Mwanahalisi nao wajiandae.
Amesainishwa hati ya kutuhumiwa uchochezi. Mpaka saa hii bado hajaruhusiwa kutoka makao makuu ya polisi anakohojiwaWekeni details tafadhali tusiishi kwa hisia!
Haja kamatwa ila ameitwa kulisaidia Jeshi la polisi acheni uchochezi nyie mnajua maana ya kukamatwa!!!!!
anaitwa kulisaidia?????????? yaani yeye ana ujuzi zaidi ya hao Polisi hadi awasaidie au?????????? wanampotezea muda wa kufanya kazi zake ............yaani .............. kwa .......... hao polisi wenyewe ..........majority wako hoi bin taaban ..............wamelundikwa pale wanapoishi miaka nenda rudi .... no change of houses .... no change of life style............ halafu wamekata tamaa hadi wanashindwa kufanya usafi wa mabanda yao ya bati ............ ila wala hawaelewi ........ SIKU WAKIFUNGUKA MACHO NA MASIKIO ...........NDIO WATAONA NA KUELEWA
MWANDISHI WA WATU AJIPE MOYO TU ......HILO NALO LITAPITA :disapointed:
"Katika mazingira haya
ndimo tunakuta: kamata
mbowe, kamata Slaa.
Kamata Zitto. Bambika
mashitaka. Weka rumande.
Peleka mahakamani Fungulia mashitaka kama
jana, kama leo, kama kesho,
kila siku."
Mnayakumbukwa hayo maneno yaliandikwa na mwandishi gani wa mwanahalisi?
Je kinatofauti gani na hali inayoendelea leo nchini kwetu?
Tumepewa uhuru wa kujieleza. Ila usivuke mipaka.
Mkuu si ulichukuwa uraia wa Kenya?Hii nchi bana....kesho utasikia Yo YO korokoroni kwa kuwa member wa JF......
Aaaaa kamanda, ndo unaanza kumchongea akamatwe .... lol ...Mkuu si ulichukuwa uraia wa Kenya?
Ama alkuwa Yo Yo mwengine?