About real love

About real love

Joined
Sep 2, 2013
Posts
10
Reaction score
2
Nimerudi tena wadau najaribu kutafuta ubavu kuishi naye sasa mnaona yupi anaweza kuwa mzuri kati ya hawa
Kanisani/Msikitini
Kitaa/Uswazi
Vyuoni
Kazini
Night club
Safarini
Mitandao ya kijamii
NB; Kwingineko umapo ona ww pazuri
 
^^
Hapo ndipo huwa mnakosea KUPANGA mahali pa kutafuta ubavu wenu
^^
 
Unaweza kumpata sehemu yoyote katika hizo ulizozitaja ikiwa ikiwa tu ni ubavu wako...
Ila ukitaka kupata real love,yan true one unatakiwa upige goti chini umuombe Mungu unaemuamini hapo ndo utakua umewin na utafurahia ndoa hiyo,sawa rafiki?maana unaweza ukasema umchague wa kanisani kumbe hakuna kitu hapo anaenda kanisani kam ushaidi na kwa mazoea tu,na unaweza kukutana nae club na ndo akawa mtu sahihi kwako...so kama uko serious na swala lakutafuta mke mwema mwenye real love do something rafiki.
 
Nenda mjengoni Idodomya...kuna wawakilishi wetu kule bado wapo singo...
 
Pote hapafai! Nenda mtaa wa ohio ama sinza makaburini! Gud wives!
 
 
Last edited by a moderator:
Hahaha kweli akili ni nywele. Nenda shule, everything is double double!
 
Ah what is real love? How does it look? Kwangu naona real love iko kwa movie,museum na library!

in point, kabla ya kuwa na mke kuna madara ya mchakato kwanza unapitia, mf. Urafik then uchumba ndo unaingia kwenye ndoa! Sasa hauna gf? Kama ndivyo uliwa(m)pata wap? Ha(wa)fai kuwa wife material?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom