about love!

Pretty-baby

Member
Jan 25, 2012
56
7
habarini, hivi inakuaje mtu anapenda kiasi kwamba akiachwa anajiua? na kwanini mapenzi yanatesa watu kiasi hicho?ninaombeni ufafanuzi great thinkers!
 
Yan we acha tu, nlikua nashangaa m2 analia mpaka anakosa raha, duh nilivojikuta ktk janga hili la malovee av realised am the most stupid than them..LOVE Z CRAZE.
 
maswali mengine licha ya kuwa magumu hayahamasishi kujibu; ungesimulia kisa fulani kinachoeendana na mada hapo labda ungestimulate brains za watu.

Vumilia lkn, AshaDii na Lizzy wanaweza kukujibu!
 
yananinyima raha sababu ni wachumba wawili na wote wamegoma kuolewa wananisubiri kwa hamu niwaoe.
 
Doc we na Kaunga embu toeni mawazo yenu bana. Mi bado nafikiria.
usiumize kichwa chako kufikiria sana, huu sio mtihani.................... kuna siku mtu alinichekesha sana hapa alijibu watu wanaachwa, wanaacha, wanaachana, wanaachanishwa, lakini hawajiui............ huyo wa kujiua alikuwa anatafuta sababu tu
 
Ulishapigwa sumari la paji la uso??

Kujiua ni kazi lakini...
usiumize kichwa chako kufikiria sana, huu sio mtihani.................... kuna siku mtu alinichekesha sana hapa alijibu watu wanaachwa, wanaacha, wanaachana, wanaachanishwa, lakini hawajiui............ huyo wa kujiua alikuwa anatafuta sababu tu
 
usiumize kichwa chako kufikiria sana, huu sio mtihani.................... kuna siku mtu alinichekesha sana hapa alijibu watu wanaachwa, wanaacha, wanaachana, wanaachanishwa, lakini hawajiui............ huyo wa kujiua alikuwa anatafuta sababu tu

Kujiua is not that simple. Sio sawa na kumchoka mtu usema alikua anatafuta sababu tu. . ni tatizo kama yalivyo mengine mengi.
 
Binadamu 2po tofauti yaan ha2fanani, hakuna ki2 kzuri dunian kam mapenz, na hakun ki2 kibaya dunian kama mapenz! Wapendw, nashaur 2pende/2pendwe, lkn yote 10 binadam hubadilik wakat wowote.
 
Kuna aina nyingi za wehu...kuna wengine wanatembea uchi wengine wanajiua.

Uiona wapi penzi likawa kifo, au uliona wapi mwenye roho ya kupenda asijipende mwenyewe kama si ukichaa.

Yani mtu mpaa ajiue ujuwe huyo hajui kujipenda, na kama hajipendi basi hawezi kupenda.
 
Back
Top Bottom