About Condoms: Pope Benedict's statement contrary to Mzee Mwinyis'

Mwinyi alichemsha!....Kiongozi wa serikali unapokuwa ktk mazingira kama yale ni lazima ufahamu unazungumza na watu gani na katika maziongira gani!.. Mwinyi alichemsha period!..Tazama basi viongozi wanaofahamu jinsi ya deal na issues..

The pope also said that he intends to make an appeal for "international solidarity" for Africa in the face of the global economic downturn.
He said that while the church does not propose specific economic solutions, it can give "spiritual and moral" suggestions...

Spiritual na Moral suggestions...haya nduio maneno, huyo Mwinyi hakufahamu kuwa mkusanyiko ule ulihitaji vitu hivyo sio habari za biashara ktk ngono...Kuna sehemu na wakati wa kuzungumzia mambo hayo..
 
Mkuu Mkandara sawa Mwinyi alichemsha kwa kuwa haikuwa mahala pake.Lakini hii haimkatazi Mwinyi akiwa sehemu muafaka kuuza sera ya condom.
 
wandugu back to the mada ukweli ni kwamba sayansi huwa haikubaliana na imani.condom inazuia maambukizi ya ukimwi na alilofanya Mzee Mwinyi ni jambo jema kabisa isipokuwa hakuwa katika sehemu muafaka.Hizi propaganda za kusema condom haizuii ukimwi hazina scientific proof yoyote.Wanaposema condom inazuia ukimwi kwa 95% kwa mfano manake yake ni kwamba ile 5% inaweza kuwa kwa sababu condom haikuvaliwa vizuri ama imekwisha muda wake na siyo kwamba etu condom ina vitundu kwa mbele wadudu wanaweza kupita.Kwahiyo ukipata condom ambayo ni ya quality nzuri na ikatumika vizuri basi hakutakuwa na maambukizi ya ukimwi.
Viongozi wa dini wanataka kuigeuza vita ya ukimwi kuwa ya kiimani tu kitu ambacho hakitakaa kiwezekane kamwe.Wao waendelee na kazi yao nzuri ya ku promote sexual abstinence kwa waumini wao na wawaache wanaharakati wengine waendelee kuuza sera ya condom.
Waache unafiki kwa sababu wanajua kabisa wao wenyewe ni wadhaifu kama binadamu wengine pia ambao mwisho wa siku ya ibada wanajikuta wanaangukia kwenye uovu wa zinaa.Sasa kipi bora:waumini waendelee kufa

kwa ukimwi kwa sababu wamekatazwa kutumia condom au watumie condom na mwisho wa siku wanaweza kutubu na kuokolewa na Mungu wao?

mimi nina practical proof sio scietific tu ya kwamba condom hata mimba haizuii
 
mimi nina practical proof sio scietific tu ya kwamba condom hata mimba haizuii

Nasemaje hizo defects ndogondogo zipo kama condom haitatumika vizuri.Kwa mfano wewe unatoka na demu na mapombe yako kichwani unafika geto kwavile midadi ishakupanda unachana condom fasta fasta unajivalia.Hapa lazima uwe kwenye risk ya ku contaminate.
 
Nakuhakikishia condom hata mimba haizuii ,mimi tangu nizaliwe sijawahi kunywa pombe wala kuvuta sigara.Lakini nakwambia condom hata mimba haizuii.

Nakushauri tuu ukitaka kukwepa ukimwi na mimba acha ngono kabisa.
 
Mnavaa zana kwa huku halafu mdomo hauna zana na watu siku hizi wanapenda kutumia ndimi zao sehemu mbali mbali ambazo ni nyeti, hapo maambukizo ya ukimwi ni kama kazi maana hakuna kinga hapo. Lakini na hayo anayohubiri Pope kwamba watu wasifanye nonino katika dunia ya leo hayawezekani maana matangazo ya nonino yako kila mahali matokeo yake watu wanazianza shughuli mapema mno ukilinganisha na miaka ya nyuma.
 
Tukubali kwamba kwa sababu mbali mbali (ubovu, etc), tendo moja la ndoa na kondomu linakupa kinga ya 95%. Hii ina maana kwamba ukirudia huo mchezo mara 10, uwezekano kwamba hutapata ambukizo ni 0.95 raised to power 10 = 0.5987. And 20 repetitions lower the protection down to 0.95 raised to power 20 = 0.3585

Yaani ni uendawazimu kuwa mzinifu ukidhani unalindwa na kondomu.
 
Nakuhakikishia condom hata mimba haizuii ,mimi tangu nizaliwe sijawahi kunywa pombe wala kuvuta sigara.Lakini nakwambia condom hata mimba haizuii.

Nakushauri tuu ukitaka kukwepa ukimwi na mimba acha ngono kabisa.

Unathibitisha kwa hadithi za vijiwe vya kahawa.Hiyo practical utatuthibitishia vipi wakati ulikuwa kivyako?Weka ushahidi wa kisayansi kama unao.
 
Condoms not very effective --Pro Life

Friday, August 09, 2002 .
By Correspondent Lumuli Minga

Condoms are only 60 to 70 per cent safe and should not be advocated as the best protection against HIV transmission.
Emil Hagamu, the Director of Pro Life, an NGO dealing with scientific research and counselling methodology said this to journalists in Dar es Salaam, yesterday.
Hagamu who was accompanied by Prof. Philip Ney, a Clinical Professor in family practices from Canada, said research done by scientists using HIV proved that 29 out 89 condoms were leaking.
"This data means condoms have between 60-70 per cent chances of protection from HIV. Therefore using a condom as a protective device is not safe at all," said Ney.
He said there were four main problems that face those who use condoms which make researchers conclude that it is not effective.
He mentioned the possibility of leaking, which allows HIV virus penetration. Improper use and storage of condoms which he said was the biggest problem all over the world.
He also said that those who do unnatural sexual intercourse have a higher risk of HIV transmission because the skin on those parts is softer making it easier for HIV virus to penetrate.
Madie Poeters Ney also from Canada, said the United Nations in June this year published a report which indicated that condoms were not very effective in fighting the AIDS pandemic.
"On June 23 this year a population division of United Nations Department for Economic and Social Affairs published a report indicating that condoms were not effective in protecting against HIV transmission," she said.

hii bado haijawa accepted.soma makala za CDC utaelewa vizuri huko.
 
Tukubali kwamba kwa sababu mbali mbali (ubovu, etc), tendo moja la ndoa na kondomu linakupa kinga ya 95%. Hii ina maana kwamba ukirudia huo mchezo mara 10, uwezekano kwamba hutapata ambukizo ni 0.95 raised to power 10 = 0.5987. And 20 repetitions lower the protection down to 0.95 raised to power 20 = 0.3585

Yaani ni uendawazimu kuwa mzinifu ukidhani unalindwa na kondomu.

This is some silly math! You are assuming that each time you have sex you are having it with an infected person!
Furthermore a failure in a condom even with a HIV positive person does not guarantee infection, even when having unprotected vaginal intercourse(WITH A HIV POSITIVE PARTNER) the chances of infection are about 1/1000.
So all of these factors have to occur at the same time:
  1. The Condom must Fail
  2. Your partner must be HIV positive
  3. Transmission must actually occur.

The probability of all these factors occurring at the same time is very low, which is what makes Condom use affective.
 
Last edited:
Nakuhakikishia condom hata mimba haizuii ,mimi tangu nizaliwe sijawahi kunywa pombe wala kuvuta sigara.Lakini nakwambia condom hata mimba haizuii.

Nakushauri tuu ukitaka kukwepa ukimwi na mimba acha ngono kabisa.

Hakuna mtu anayedai kuwa ni 100% affective! Angalia study hii
A study published in 1994 in The New England Journal of Medicine looked at 256 heterosexual mixed status couples. Of the 124 couples that consistently used condoms, none of the HIV-negative partners were infected. Among the 121 couples that did not consistently use condoms, 12 (about 10 percent) of the HIV-negative partners became infected. Additional studies found similar results."

Pia nimewahi kuona Documentary ya mji fulani marekani ambao unaruhusu madangulo, lakini sheria ni kwamba Condom lazima itumike, na wanawake wanapimwa ukimwi kila baada ya mda fulani.
Katika miaka yote ya madangulo hayo kufanya kazi hakuna hata mwanamke mmoja aliyepata ukimwi HATA MMOJA na hawa ni malaya ambao obviously wanakua kwenye high risk ya kupata ukimwi.

Tena hii documentary inaongelea jinsi vatican ilivyopindisha scientifi studies kudai kuwa Condom hazifanyi kazi, ilikua BBC sema sikumbuki jina.
 
Hata wewe usitudanganye. Mimi nimefanya kazi na watu waliokuwa wanatumia kondomu huko Uingereza na hata hapa Afrika (huko Malawi) na wakapata ukimwi. Au hao hawakutumia kondomu za Tanzania?

Issue ya Aids ni complex na hivyo kondomu pekee ni uongo. Inabidi tu watu wajifunze kuchagua moja: kupata ukimwi kwa kuendekeza ngono (irresponsible sexual behaviour) au kuzuia kwa kujitahidi kuishi kiaminifu. Hizo kondomu zipo kwa biashara. Mbona watu wanaendelea kufa na kondomu zinaendelea kuuzwa au kugawiwa kama kweli zinazuia ukimwi?

Mkuu wewe unachanganya mambo, no where in my post ,nilipoonyesha watu watumie Condom, na wala sijampinga Papa wala sijakubaliana naye. Swala ni kuwa hivi vitu tunataka kuvitofautisha na watu, na hawa watu wako kwenye dini na dunia! Tatizo siyo Ukimwi, wala Dini, tatizo ni kuwa hawa watu wanafuata standard zipi?? mpaka sasa hivi imekuwa proved kuwa dini imeshindwa!!! simply kwa sababu hatuifuati, na walio TWIST BIBLE NA MAANDIKO YAKE NI HAWA HAWA WAKUBWA!!!!!

MPAKA SASA KIDUNIA DUNIA, NDIYO UWEZO WAO WALIOFIKIA WA KUPIGANA NA UKIMWI. TUNAPOSEMA WATU WASITUMIE LAZIMA TUWE NA SOLUTION, LAKINI SOLUTION HII SIYO DINI!!!!!! MAANA IMESHINDWA. TUKITAKA IWE DINI?? THEN WE HAVE TO FOLLOW JESUS SERIOUSLY HAPO NDIO TUTAPONA!!!!

NIMESEMA MAKANISA SIKU HIZI KUFUNGISHA NDOA ZA WATU WALIOPEANA MIMBA?? MAANA YAKE NINI?? TUNARUHUSU NINI???

LET US BE HONESTY! BIBLE IMEBAKWA NA KUDHARAULIWA NA SERIOUS TUNAANGAMIA SIMPLY TUKO MBALI NA MUNGU!!!!!!!! AMBAYE TUNATAKA TUJIFANYE TUKO KARIBU NAYE!!!
 
He is out of touch and out of reality. Sexual abstinence in 2009? He must be joking. Sexual abstinence campaign would have been possible in 1947 but not today. People are doing it left and right hata makanisani na misikitini pia mapadri na masheikh nao wanashughulika kama kazi.
 
Nakuhakikishia condom hata mimba haizuii ,mimi tangu nizaliwe sijawahi kunywa pombe wala kuvuta sigara.Lakini nakwambia condom hata mimba haizuii.

Nakushauri tuu ukitaka kukwepa ukimwi na mimba acha ngono kabisa.

Inawezekana huyo ambaye ulitumia kondomu kwake ni kweli alipata mimba, lakini si wewe uliyempa, ni jamaa mwingine tu. Kwa hiyo kondomu ilizuia usisababishe mimba kwa mpenzi wako, lakini jamaa akatembea na mpenzi wako ambaye akapata mimba, halafu wewe unakuja hapa JF kusema kondomu hazizuii mimba !!
 
Nadhani tunaacha mada kwa kuwajadili watu, Tujadili MADA, tutapunguzaje au kutokomeza ukimwi. Hawa Mapadri ni binadamu kama wengine, Mbona VIONGOZI wetu huapa kwa Biblia na Koran na mara moja wanaanza ufisadi??

Hao Mapadri wakiacha ndio UKIMWI UTAISHA?????????????????????? Sidhani, maana wanaouneza sio wao tu!!!!!!!!!!!!!!! hivyo kama alivyosema mmoja hapa kondom zimekuwepo bado watu wanaambukizana, kwa NINI???

Labda tuangalia mazingari mengine yanayokuwepo tendo la ndoa linapotokea, mara kwa mara hutokea kwenye joto la ashiki kubwa, wengi huwa hawakumbuki kabisa kutafuta na au kutumia mpaka inapokuwa tayari wamejamiiana, baadaye wanastika na kujuta. Hivyo mazingira nayo yanachangia.
Tukiwaza tutumie kondom tu basi tumepona, nani kijana wa miaka 25 amekutana na mtu ambaye amekuwa akimtafuta muda mrefu (si ajabu ni msichana katoroka kwao geti kali kwa nusu saa tu) ashiki iko juu anakumbuka au ana muda wa kutafuta kondom, NGUMU hiyo hivyo anajinyonga na kujipa moyo, ah huyu hana hiyo kafungiwa kila siku, au mtanashati vile.

Kama kweli tutaacha kutenda hilo, kwa wale ambao hawajawahi kutenda watapata ukimwi wapi???? labda kama unaambukizwa kwa kunywa chai au juice.

HIVYO NJIA YA UHAKIKA NI MOJA TU : ACHA ACHA ACHA, ukipata mwenzi KAPIME KWANZA ndipo uchukuane nae.
 
This is some silly math! You are assuming that each time you have sex you are having it with an infected person!
Not at all! It is elementary probability that if there is a 95% chance that something will not occur in one repetition of an experiment, then 10 independent repetitions of it will lower the chance that the event will not occur at least once down to 60%. Twenty repetitions will lower that further to only 36% And fifty repetitions will bring it down to a lousy 7.6% !

This is not rocket science. Did you not learn this elementary probability when you were in high school?

If you want to bury your head in the sand and insist that condoms will save you, then go ahead! You are sure to be infected that way!
 
Back
Top Bottom