About Condoms: Pope Benedict's statement contrary to Mzee Mwinyis'

Kama inadondoka kila saa nadhani utakua unatumia Condom size sio yako, jaribu kufanya experimentation na different sizes.

Nafikiri wachangiaji waliopita hukuwafahamu. Wanachoogopa wao ni huko kufanya majaribio na maisha ya watu. Halafu iangalie jamii yetu mtu anafika kutumia mfuko wa rambo kwa tendo la ndowa badala ya kondom, na wako wa ngapi watakaokutwa na mikasa kama ya huyo mchangiaji? Panga pangua watu kama hawa iwapo patners wao ni waathirika wanaenda na maji lakini si amini mtu mwenye akili yake atajaribu kufanya ngono iwapo ataambiwa kuwa hakuna kinga.
Wengi wanalaumu kuwa dini zimeshindwa kuthibiti zinaa lakini wanasahau kuwa kuna kitu KONDOM kinapigiwa debe kuwa ni kinga ya zinaa. Najaribu kufikiri vipi watu wanakubali KUTOKUFANYA NGONO BILA YA KONDOM lakini hawakubali kuacha kufanya zinaa. Binaadamu hakukamilika lakini binaadamu si mnyama kuwa lazima avutwe na matamanio bila ya kuresist.
 
By Roland S. Martin
CNN Contributor

Editor's note: A nationally syndicated columnist, Roland S. Martin is the author of "Listening to the Spirit Within: 50 Perspectives on Faith" and "Speak, Brother! A Black Man's View of America." Visit his Web site for more information.

art.new.roland.cnn.jpg

Roland S. Martin says the Catholic Church's opposition to condoms is increasing the toll of HIV/AIDS.​

(CNN) -- The African-American religious community deserves considerable praise for taking leadership of the civil rights movement during the first half of the 20th century.

But there is no doubt that toward the end of the 20th century, the black church, primarily because of its opposition to homosexuality, has abdicated its responsibility and totally disregarded the human toll that HIV/AIDS has had on the members it largely serves. It only has been recently that pastors have opted not to turn a blind eye to what is clearly a state of emergency.

Unfortunately, we are seeing the same kind of ignorance of reality from the Catholic Church and its leader, Pope Benedict XVI.

The church has long been opposed to the use of condoms and other forms of birth control because it strongly believes the only purpose for sex is procreation. But for the church to continue to ignore the definitive research that condoms play a huge role in decreasing the spread of HIV/AIDS and other sexually transmitted diseases is mind-boggling.

Pope Benedict is in Africa this week on a six-day tour, his first since his ascension to the papacy, and he made some remarks that have sparked outrage in the motherland, where Catholicism is spreading like wildfire.

In response to written questions from reporters, the pope said this about HIV/AIDS: "You can't resolve it with the distribution of condoms. On the contrary, it increases the problem."

He is absolutely correct that condoms are not the solution to stopping the spread of HIV/AIDS. He is also 100 percent correct that the only surefire way of stopping HIV/AIDS, when it comes to sex, is to practice abstinence. That is clearly within the teachings of the Bible and the Catholic Church, and he will find no disagreement from me.

Now the reality.

People are having sex. Catholics are having sex. Heck, some Catholic priests have abandoned their oath and have had sex.

As a layman and the husband of a pastor, I know the difference between utopia and reality, and it is the responsibility of the faith community to deal with the real world.

And frankly, Pope Benedict clearly shows he doesn't get it.

What we need today are our church leaders preaching, teaching and imploring their members not to go to bed with anyone and everyone. We also need church leaders who are willing to stand up and tell folks that if they do choose to sin -- that's what the church and other faith leaders consider sex outside of marriage -- then you had better take the necessary precautions to protect yourself.

Folks, there is nothing in the Bible about wearing a seat belt. But it would be foolish of any pastor not to tell his or her members to use the safety device when driving. Churches all across the country trust and love their fellow members, but you can bet that an accountant is employed by many churches to ensure that no one is stealing the tithes and offerings.

Pope Benedict surely loves God and sees him as his protector and provider, but he goes nowhere without armed bodyguards. The pope has to know that murder is against God's will. He has to believe that every person has the choice to be a moral and upstanding person. Yet not everyone abides by those religious views, and his security is there to prevent him from being harmed.

So how are condoms any different?

While Catholicism expands on the continent of Africa, we are seeing the expansion of HIV/AIDS as well. Sub-Saharan Africa has 22 million people infected with HIV.

The refusal of the Catholic Church and other religious denominations to accept the reality of the situation on the ground is doing nothing for the issue. If the church used its powerful voice -- while continuing to speak out against sex outside of marriage -- to also implore people to practice safe sex, it could have a major impact on slowing the spread of the disease.

This is one time where silence is not golden.

The opinions expressed in this commentary are solely those of Roland S. Martin.

Well!Hayo ni maoni na si maelekezo ya dini. Dini zimeteremshwa na mola kwa lengo la kuelekeza namna ya kuishi kwa matakwa ya muumbaji wetu. Ni jambo lililo wazi kuwa maamrisho ya mola mara nyingi yanakwenda tofauti na matakwa yetu binaadamu na tukianza kuleta utashi wetu hatufiki pahala.
Ukimwi si matokeo ya maamrisho ya dini bali ni kinyume chake. UKIMWI NI MATOKEO YA KUPINGA MAAMRISHO YA DINI na iwe wapingaji ni mashehe, mapadri au waumini. UKIMWI NI MATOKEO YA ZINAA NA ZINAA ILISHAKATAZWA NA DINI TANGU ZAMANI NA TUKAHUBIRIWA MATOKEO KAMA HAYA.

Sasa tunalaumuje dini kusema kuwa umeshindwa kuzuia ukimwi BALI tuseme kuwa binaadamu tumepuuza maagizo ya dini na matokeo yake ni haya.
Iwapo sisi tuliipuuza dini na maamrisho yake HIVYO NI JAMBO SAHIHI KUIRUDIA DINI NA KUIAMBIA IBARIKI ZINAA.
Tubebe misalaba yetu wenyewe na kama walevi , wanamichezo, wanasiasa na makundi mengine hukaa pamoja kuzungumzia masuala yanayowahusu, wazinifu nasi tukae pamoja na kujadili nama ya kuendeleza ZINAA BILA MAAMBUKIZO YA UKIMWI na sio tuzitake dini zikae pamoja nasi na kuhalalisha kile kinachopingwa nayo.

Historia zinatueleza kuwa hapajakuwa na huruma na dhambi ya Zinaa na watu waliangamizwa hapo nyuma na sasa maangamizo yamekuja kwa njia nyengine.
ANEAMINI DINI NA AKAWA SI MNAFIKI HAWEZI KUUPATA UKIMWI KWA NJIA YA ZINAA.
 
This is impossible hasa kwa wale ambao wameshaonja utamu wa ngono, we need to get real.

Ni kujiendekezatu, mbona tukisikia pahala pana ngoma tunapita upande? Utamu wa maisha hauzidi huo wa ngono lakini nikishahakikishiwa kuwa kuna kinga ndio nitakuwa kichwa ngumu.
 
Nyie mnaopinga matumizi ya condom, ni kweli haizuii kwa asilimia100, lakini ndiyo solution ya watu wa 'dunia hii' mnaposema watu wasifanye ngono, ni kujidanganya, au kwa maana nyingine inabidi kuwahamasisha watu wafuate dini! wangapi kati yenu mnahubiri injili?? na kumfuata Yesu??

Maana in concept Jesus died kuchukua udhaifu wetu huu, lakini leo hatumtaki!

Tutapataje kupona tusipojali wokovu mkuu namna hii??

Kwa namna unavyoeleza ni kuwa Tanzania hii hakuna asiezini. Heshima kidogo kwa Taifa si vizuri kuja kuitwa Taifa la Wazinifu. Nakuhakikishia kuwa bado ndani ya jamii yetu, wanawake wanaijua m b o o moja tu maishani mwao na wapo wanaume washapenyeza kwenye k u m a moja tu maishani mwao na wako waliowengi waliokwishakuona kuwa zinaa haina faida na hivyo kuwa waaminifu kwa patners wao.
 
Papa dhidi ya kondom

Naam,Mzee Ben ni Mtu na ni kiongozi wa watu
Kama tunachalenji bac tuchalenji hoja.Familia moja kuwa na Jambazi haimaanishi kuw familia yote ni majambazi au ndio kiini cha Ujambazi.Waclisha hoja ya mcngi tuifanyie SCRUTINISATION OF THOUGHT,wasalaam
 
KAMA CONDOMS NI JIBU,basi ukimwi ungepungua!mi naona pope yupo right,because kama condoms ni practically zinasaidia basi tungefeel hiyo impact.

ME NAONA KAMA KILA MTU ATAIHESHIMU NDOA(kwa yoyote anaehusika),na kama kila tu ataweza kuuheshimu mwili wake,hasa vijana ambao bado wapo wapo sana(ikizingatiwa kwamba mwili wako ni hekalu takatifu la mungu),HII KITU INAWEZA KUPUNGUA AU KUISHA NA TUKAIFEEL IMPACT.

pope is right!think and think guys!
HE IS RIGHT
 
POPE IS RIGHT - issue ni kuacha ngono nje ya ndoa ambayo ufanyavyo hivyo kwako ni DHAMBI - na mshahara wa DHAMBI NI MAUTI - haijalishi wewe ni PADRI, SHEIKH, RAIS, WAZIRI, TAJIRI, MASKINI, MSOMI AU HUJASOMA - NA HII DHAMBI KUISHINDA INABIDI UPATE NGUVU YA ZIADA TOKA KWA MUNGU - NA UKIWA KARIBU NAYE - NGUVU HIYO IPO - HIVI NI NANI BABA AU MAMA ANAYEWEZA KUKAA NA MWANAE NA KUMFUNDISHA ATUMIE CONDOM? INA MAANA UNAMTUMA. INASIKITISHA TAIFA LETU WENGI WAMESHAHALALISHA TENDO HILO - UNAINGIA HOTEL UNAKUTA WAMEKUWEKEA CONDOM - SIJUI MAANA YAKE NINI? YAANI NGONO IMEWAKAA KICHWANI WATU WENGINE KIASI AMBACHO KWA VILE WANAOGOPA KIFO - WANAWEKA KINGA KILA MAHALI ILI KUHALALISHA DHAMBI - MUNGU HADHIHAKIWI - HUMO HUMO KWENYE KINGA ALIYETAFUTA MWANADAMU ILI KUFANYA DHAMBI - MAUTI ITAMKUTA HUMO -
TUBADILIKE - TUWE NA MAISHA YA MAADILI - HIVI BABA/MAMA MZINZI ATAMSAIDIAJE MTOTO WAKE ANAPOKUWA CHANGUDOA? UNAKUTA FAMILIA NZIMA NI ROTTEN - SHAME! SHAME! SHAME! POPE KAMA KIONGOZI WA DINI HAWEZI KUITETEA DHAMBI ATACHEKESHA SANA - INABIDI ASIMAMIE NAFASI YAKE - HAO MAPADRI ETC. WANAOBAKA WATOTO - POPE HAJAWATUMA - ILA NI AGENTS WA SHETANI NA SHETANI ANAMTUMIA YOYOTE ASIYE NA "POWER OF GOD" NA SIO KWENYE NGONO TU - MADAWA YA KULEVYA, ULEVI WA KILA AINA - E.G. BANKI, GONGO ETC. WIZI, UFISADI, UUAJI, UCHAWI/USHIRIKINA, UONGO, UONEVU ETC.
ITS VERY IMPORTANT TO THINK DEEPLY BEFORE MAKING ANY DECISIONS IN YOUR LIFE.
 
Wakuu tukiacha longo longo kukitembeza sio dili dunia ya sasa.......sijui uan demu tabata wa kuzugia,Mwenge unae denti,mikocheni una sista duu wa kutoka nae viwanja na Ilala una jimama lijualo majambozi......sio ishu wakuu...

.......vitulizeni viungo vyenu....tafuta wako mmoja muaminifu ushuhulike nae.....nyama ni ile ile imepitwa na wakati kuwa na wapenzi wengi.....
 
Mnavaa zana kwa huku halafu mdomo hauna zana na watu siku hizi wanapenda kutumia ndimi zao sehemu mbali mbali ambazo ni nyeti, hapo maambukizo ya ukimwi ni kama kazi maana hakuna kinga hapo. Lakini na hayo anayohubiri Pope kwamba watu wasifanye nonino katika dunia ya leo hayawezekani maana matangazo ya nonino yako kila mahali matokeo yake watu wanazianza shughuli mapema mno ukilinganisha na miaka ya nyuma.
tena siku hizi uvinza ni jambo la kwanza.....
 
Kama inadondoka kila saa nadhani utakua unatumia Condom size sio yako, jaribu kufanya experimentation na different sizes.

Kwani mtu anaponunua atajua size gani ni yake? Na kama ni kutafuta size, for how long will it take to get the right size?
 
Ukweli utabaki pale pale condom sio dawa na haizuii kuenea kwa ukimwi ila inapunguza maambukizi kwa wale walio makini na wanao jua kucheza salama (ambao wako wachache sana sijui hata kama 1,000 wanafika), ukimwi umeenea zaidi baada ya kukampeni condom kuliko kabla. Kama Condom imefaa basi ni nje ya africa, waafrika wanahitaji zaidi ya Condom.

Kama dini bado pia haijazuia watu wako na dini zao na wamechizika kinoma lakini mafundisho yanaishia katika nyumba za ibada. Ukisema shule watu wanamadegree kibao lakini bado hawajui kucheza salama na condom.
 
Ukweli utabaki pale pale condom sio dawa na haizuii kuenea kwa ukimwi ila inapunguza maambukizi kwa wale walio makini na wanao jua kucheza salama (ambao wako wachache sana sijui hata kama 1,000 wanafika), ukimwi umeenea zaidi baada ya kukampeni condom kuliko kabla. Kama Condom imefaa basi ni nje ya africa, waafrika wanahitaji zaidi ya Condom.

Kama dini bado pia haijazuia watu wako na dini zao na wamechizika kinoma lakini mafundisho yanaishia katika nyumba za ibada. Ukisema shule watu wanamadegree kibao lakini bado hawajui kucheza salama na condom.

Kondomu siyo kinga kwa sababu nyingi:

1. Hazitengenezwi kwa kuzuia virusi kutpoita kwenye matundu yake madogo bali kuzuia ujauzito.

2. Zina'protect' tu sehemu ndogo ya msuguano wakati sehemu kubwa haina 'protection'.

3. Ni 'risk' kubwa sana kulala na mtu mwenye virusi (kama huna) na ukadhani kondomu itakufanya usipate hata kimoja.

4. Njia ambayo ni kinga ila haitangazwi ni 'abstinence' eti kwa vile binadamu ni dhaifu. Ni kama kusema ukitaka kuzuia wizi basi shiriki wizi mdogomdogo. Lakini ukimwibia mtu nani atajua ulikuwa wizi mdogomdogo na siyo wizi?

Ushauri: Tuache kudaganya! Kama mtu anatumia kondomu atumie lakini siyo sahihi kupiga debe ili na wengine watumie. Hizi kondomu hazina ubora unaolingana na kuzitumia ni sawa na kukubali maambukizi yaendelee tu.
 
Kondomu siyo kinga kwa sababu nyingi:

1. Hazitengenezwi kwa kuzuia virusi kutpoita kwenye matundu yake madogo bali kuzuia ujauzito.
WRONG!
2. Zina'protect' tu sehemu ndogo ya msuguano wakati sehemu kubwa haina 'protection'.
WAT?
3. Ni 'risk' kubwa sana kulala na mtu mwenye virusi (kama huna) na ukadhani kondomu itakufanya usipate hata kimoja.
Angalia study niliyoweka ya mixed status couples! Obviously Condom inalinda.
 
Moja kati ya aina za maasi ni suala la zinaa; nayo ni maingiliano yasiyo ya kisheria kati ya mwanamke na mwanamme pamoja na suala la liwati kati ya mwanamme kwa mwanamme. Yote haya ni mambo ya kinyume na fitra na maumbile ya mwanadamu na ndio maana kuyatenda kwake kunaletea madhara na maangamizo.

Miongoni mwa athari kubwa ya zinaa na liwati ni haya maradhi ambayo hadi hivi sasa imeshindikana kupatikana tiba yake, licha ya majaribio au kupatikana kwa njia za hapa na pale zijulikanazo za kurefusha muda wa kuishi mgonjwa nayo ni maradhi ya UKIMWI.

Kwa upande wa waislam tunayakinisha kwamba dawa yake lazima ipo kwa mujibu wa mafunzo ya dini yetu kama asemavyo Mtume kwamba “Kila maradhi yana dawa yake” Miongoni mwa dawa hizo ni kurudi katika fitra sahihi na kuacha uchafu na kutafuta dawa nyengine.

Ama katika hali ya kuacha uchafu iwe ni kwa kukusudia hasa ndani ya nafsi zetu kwamba tumekusudia kubadilika na tunataka Allaah atubadilishie hali zetu kwenda katika hali bora. Ikiwa hilo silo lengo letu bali ni wenye kufanya istihizai kwamba tutafute njia nyepesi za kuzini basi Allaah hatotubadilishia hali hizo, na hata akitubadilishia kwa kutupa dawa ya maradhi hayo tutarajie kwamba maradhi mengine yatakuja na yatakuwa ni makali zaidi kuliko tuliyonayo. Ama kauli kuwa hayana dawa hivyo haitafaa kusema kuwa haya sio maradhi kwani kauli hii huenda ikampeleka mtu nje ya dini. Hakika dini ya uislamu kwa ukamilifu wa mpango kamili wa maisha unatupa suluhisho la tatizo kama hili au mfano wake, suluhisho la kudumu ikiwa watu watazingatia na kukubali na kutekeleza kwa nia na ikhlasi yale ambayo dini itakuwa imeyaeleza na hayo...

Ngonga hapa ili kuendelea kusoma Makala haya yaTatizo la Ukimwi
 
WRONG!

WAT?

Angalia study niliyoweka ya mixed status couples! Obviously Condom inalinda.

It's wrong to whom? Not me because I don't use them and I'll not be persuaded by anybody or any study to use one. Afterall, I've worked in critical situations and seen people who said they were always using condoms dying with condoms in their pockets. I don't need any lecture on this!

If the study can protect people from new infections why are they still infecting one another and condoms are still sold? What does the study say about that?

I can't risk my life just because the study says so! By the way, do you know that all studies/researches are not absolute? So, you cannot rely on them 100+ per cent.

Anyway, I've decided not to be a sexual maniac and I've no reason to engage in any irresponsible sexual behaviour.
 
Harvard Researcher Agrees with Pope on Condoms in Africa


Cambridge, Mass., Mar 21, 2009 (CNA).- Pope Benedict's recent brief remark against condoms has caused an uproar in the press, but several prominent scientists dedicated to preventing AIDS are defending the Pope, saying he was correct in his analysis. In an interview with CNA, Dr. Edward Green explained that although condoms should work, in theory, they may be "exacerbating the problem" in Africa.

Benedict XVI's Tuesday comments on condoms were made as part of his explanation of the Church's two prong approach to fighting AIDS. At one point in his response the Pontiff stressed that AIDS cannot be overcome by advertising slogans and distributing condoms and argued that they "worsen the problem." The media responded with an avalanche of over 4,000 articles on the subject, calling Benedict a "threat to public health," and saying that the Catholic Church should "enter the 21st century."

Senior Harvard Research Scientist for AIDS Prevention, Dr. Edward Green, who is the author of five books, including "Rethinking AIDS Prevention: Learning from Successes in Developing Countries" discussed his support for Pope Benedict XVI's comments with CNA.

According to Dr. Green, science is finding that the media is actually on the wrong side of the issue. In fact, Green says that not only do condoms not work, but that they may be "exacerbating the problem" in Africa.
"Theoretically, condoms ought to work," he explained to CNA, "and theoretically, some condom use ought to be better than no condom use, but that's theoretically."

Condom proponents often cite the lack of condom education as the main culprit for higher AIDS rates in Africa but Green disagrees.
After spending 25 years promoting condoms for family planning purposes in Africa, he insists that he's quite familiar with condom promotion. Yet, he claims that "anyone who worked in family planning knew that if you needed to prevent a pregnancy, say the woman will die, you don't recommend a condom."

Green recalls that when the AIDS epidemic hit Africa, the "Industry" began using AIDS as a "dual purpose" marketing strategy to get more funding for condom distribution. This, he claims, effectively took "something that was a 2nd or 3rd grade device for avoiding unwanted pregnancies" and turned it into the "best weapon we [had] against AIDS."

The accepted wisdom in the scientific community, explained Green, is that condoms lower the HIV infection rate, but after numerous studies, researchers have found the opposite to be true. "We just cannot find an association between more condom use and lower HIV reduction rates" in Africa.

Dr. Green found that part of the elusive reason is a phenomenon known as risk compensation or behavioral disinhibition.
"[Risk compensation] is the idea that if somebody is using a certain technology to reduce risk, a phenomenon actually occurs where people are willing to take on greater risk." The idea can be related to someone that puts on sun block and is willing to stay out in the sun longer because they have added protection. In this case, however, the greater risk is sexual. Because people are willing take on more risk, they may "disproportionally erase" the benefits of condom use, Green said.

Another factor that contributes to ineffective condom use in Africa, is the phenomenon where condoms may be effective on an "individual level," but not on a "population level." Green's research found that "condoms have been effective" in HIV concentrated areas where high risk activities are already being conducted, such as brothels in countries like Thailand.
Claiming to be a liberal himself, Green asserts that promoting Western "liberal ideology" where, "most Africans are conservative when it comes to sexual behavior," is quite offensive to them. Citing his new book, "Indigenous Theories and Contagious Disease," Green described Africans as "very religious by global standards" who are offended by "trucks going around where people are dancing to ‘Rock ‘n' Roll', tossing out condoms to teenagers and the children of the village."

Green also noted that there is an ideology called "harm reduction" that is being pushed by many organizations trying to prevent AIDS. The ideology believes that "you can't change the underlying behavior, that you can't get people to be faithful, especially Africans," the HIV specialist explained.
One country, Uganda, recognized these issues and said, "Listen, if you have multiple sex partners, you are going to get AIDS." What worked in Uganda, a country that has seen a decline by as much as 2/3 in AIDS infections, was that officials realized that even aside from religious and cultural reasons, "no one likes condoms." Instead of waiting for "American and European advisors to arrive," Ugandan officials reacted and developed a program that fit their culture; their main message being "stick to one partner or love faithfully."
However, in 2004, Uganda's AIDS infection rates began to increase once again, due to an influx of condoms and Western "advice", Green recalled. Western donors also came to Uganda and said behavioral change doesn't work and that, "most infections nowadays are among married people." Green said these claims are "misleading," pointing out that "married people always have lower HIV infection rates than single or divorced people of the same age group."

Green's new book, "AIDS and Ideology," to be completed in the next few months, will describe the industry in Africa that is "drawing billions of dollars a year promoting condoms, testing, drugs, and treatment of AIDS" and is clearly resistant to the idea that behavioral change is the solution.

Yet the two countries that have the highest infection rate of AIDS in the world, Botswana and Swaziland, have recently launched campaigns to promote fidelity and monogamy, the Harvard researcher said. These countries "have learned the hard way" about the failure of condoms in preventing AIDS, he said, noting that "Botswana has probably had more condom promotion" than any other county on a per capita basis. Green said he had no problem "having condoms as a backup to fidelity-based programs." According to Green, the Catholic Church should continue to "do what it is already doing," avoid "arguing about the diameter of viruses" and cite scientific evidence in connection with scripture and moral theology.
 
Back
Top Bottom