About Condoms: Pope Benedict's statement contrary to Mzee Mwinyis' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

About Condoms: Pope Benedict's statement contrary to Mzee Mwinyis'

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Spear, Mar 17, 2009.

 1. Spear

  Spear JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2009
  Joined: Jun 21, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Condoms not answer to Aids - Pope
  Last Updated: Tuesday, 17 March 2009, 13:26 GMT- Search: Pope visits Africa

  Pope Benedict has said that the distribution of condoms is not the answer in the fight against Aids in Africa.
  Benedict has never before spoken explicitly on condom use although he has stressed that the Roman Catholic Church is at the forefront of the battle against Aids.
  "You can't resolve it with the distribution of condoms. On the contrary, it increases the problem," he told reporters on board a papal flight to Africa, where he is to tour Cameroon and Angola.
  The Vatican encourages sexual abstinence to fight the spread of the disease. Some priests and nuns working with victims of the Aids pandemic ravaging Africa question the church's opposition to condoms.

  the Vatican

  The Pope also said that he intends to make an appeal for "international solidarity" for Africa in the face of the global economic downturn.
  He said that while the church does not propose specific economic solutions, it can give "spiritual and moral" suggestions.
  Describing the current crisis as the consequence of "a deficit of ethics in economic structures," the Pope said: "It is here that the church can make a contribution."
  Africa is the fastest-growing region for the Roman Catholic Church.
  Benedict also dismissed the notion that he was facing increasing opposition and isolation within the church, particularly after an outreach to ultraconservatives that led to his lifting the excommunication of a Holocaust-denying bishop.
  In a letter to Catholic bishops released last week, he made an unusual public acknowledgement of Vatican mistakes and turmoil in his church over the rehabilitation of Bishop Richard Williamson. While acknowledging mistakes were made in handling the affair, Benedict said he was saddened that he was criticised "with open hostility" ev
   
 2. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,868
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Mapadre wako mbele kuwalawiti watoto wadogo tena wakiume!

  US RC wamepigwa faini ya over 500 million usd kwa ajili ya huu mchezo mchafu!

  Pope hana moral authority tena kusema haya mambo!

  Asafishe kwanza nyumba yake!!!
   
 3. BiMkubwa

  BiMkubwa JF-Expert Member

  #3
  Mar 17, 2009
  Joined: Jan 9, 2007
  Messages: 530
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  I was just laughing at the irony about Mwinyi and Pope Benedict a few minutes ago. Imagine! Will we ever get the best solution to this problem?[​IMG]
   
 4. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #4
  Mar 17, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Pope: condoms not the answer in AIDS fight By VICTOR L. SIMPSON , 03.17.09, 07:20 AM EDT

  Pope Benedict XVI said Tuesday that the distribution and using of condoms is not the answer in the fight against AIDS in Africa as former President of Tanzania needs people to wear condoms during intercourse.

  Benedict has never before spoken explicitly on condom use although he has stressed that the Roman Catholic Church is in the forefront of the battle against AIDS. The Vatican encourages sexual abstinence to fight the spread of the disease.

  "You can't resolve it with the distribution of condoms," the pope told reporters aboard the Alitalia plane headed to Yaounde, Cameroon. "On the contrary, it increases the problem."

  Some priests and nuns working with victims of the AIDS pandemic ravaging Africa question the church's opposition to condoms.

  The pope also said that he intends to make an appeal for "international solidarity" for Africa in the face of the global economic downturn.

  He said that while the church does not propose specific economic solutions, it can give "spiritual and moral" suggestions.

  Describing the current crisis as the consequence of "a deficit of ethics in economic structures," the pope said, "It is here that the church can make a contribution."
   
  Last edited by a moderator: Mar 18, 2009
 5. Black Jesus

  Black Jesus JF-Expert Member

  #5
  Mar 17, 2009
  Joined: Mar 7, 2008
  Messages: 254
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mheshimiwa Mzee Ali hassan Mwinyi nakumbuka kama leo alikuwa anahutubia wakati ule ndio maradhi ya ukimwi yametambuliwa rasmi huku watu wakiwa na hofu kubwa mzee Ruksa kwa vile ezi zake alikuwa anaipenda site (yakati )alisema ndugu zangu na watoto wangu maradhi yameingia pabayaaa alivuta neno pabaya na kusema ni afadhali yangeingia sikioni yangeonekana kuliko huko yalipo ingia lakini kwa kuwa yeye ni mtu mtambuzi wa kiswahili na alisema hayo penye waswahili tulijuwa nini alikuwa anamainisha kuhusu condom nafikiri kwa kwetu hapa itachukuwa karne kwanza kipato cha watu pia watu wengi hapa wanapenda au wamesha zoweya Nyama kwa nyama ujoto ujoto wa ngozi kwa ngozi tuombe mungu dawa zigunduliwe mapema kuepusha mauti ya wengi
   
 6. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #6
  Mar 17, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,578
  Likes Received: 3,881
  Trophy Points: 280
  He may be right or wrong.

  Watu wanaopata ukimwi ni hao hao wa makanisani! wanaokatazwa kuvaa condom ni ao hao wa makanisani!

  Hapa kuna tatizo la kuwa wakweli ktk kufuatilia what our holy booksa said!

  Papa anajua kwa kiasi gani madhehebu mengi yameibaka biblia, yanafita matkwa yao nawala siyo ya Yesu wanaemuamini. Yaani all concept ya dini an madhehebu ni unafiki kama na kama tu hutfuata Yesu anasema nini, au kujaribu kuchagua nini cha kufuata na ni nini cha kutofuata. Sometime we are compromising with God's standard.

  Wanaofungisha ndoa wajawazito makanisani ni hawa hawa mapadri, kunywa pombe kidogo ni hawa hawa wanatueleza.


  Ikifikia kanisa litasimamia ukweli wa biblia then you have right o say that otherwise our churches are SOCIAL CLUBS ambapo watu anakubaliana wakutane jumapili kanisani, huku ni mafisadi, w,a rushwa na wanaambiwa wakifa, wataombewa na Mungu anawaondoa kutoka Pagatori! xg"£$%^&*!())! no where in bible!

  How to help societies, we have lots of orphans out there, our countries are dying. YES SOLUTION IS ONLY GOD but we have to follow him ni spirit and truth! I mean truth.

  Bila hivyo wapeni ushauri wa kidunia ''mwinyi' maana wasidanganyike kuwa wakiwa ktk eneo la hatari bila condom the dini inasaidia!

  WAACHE DHAMBI!!! wafuate ukweli wa dini

  or

  wafuate dunia


  kwa sababu

  Kufuata dini na dunia kumeprove failure!

  wa kwanza nani??

  VIONGOZI WA KANISA kama mfano wa Yesu!

  Kinyume na hapo

  WATU WATAKUFA TU, REGARDLESS PAPA KASEMA NINI,

  Mwaka 1981 kulikuwa na dini hizi, na makanisa haya, wagonjwa wa ukimwi walikuwa 3 tu.

  Leo 2009 DINI ZILE ZILE wagonjwa ni mamilioni!!

  Sisi tunaunafiki na Mungu anatunyosha kweli kweli!
   
 7. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #7
  Mar 17, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,868
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  RC hawawezi kutupa lecture ya condoms! No moral authority!

  Mapadre waache kwanza kuwalawiti wototo wadogo wa kiume!
   
 8. M

  Magobe T JF-Expert Member

  #8
  Mar 17, 2009
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 357
  Trophy Points: 180
  Hata wewe usitudanganye. Mimi nimefanya kazi na watu waliokuwa wanatumia kondomu huko Uingereza na hata hapa Afrika (huko Malawi) na wakapata ukimwi. Au hao hawakutumia kondomu za Tanzania?

  Issue ya Aids ni complex na hivyo kondomu pekee ni uongo. Inabidi tu watu wajifunze kuchagua moja: kupata ukimwi kwa kuendekeza ngono (irresponsible sexual behaviour) au kuzuia kwa kujitahidi kuishi kiaminifu. Hizo kondomu zipo kwa biashara. Mbona watu wanaendelea kufa na kondomu zinaendelea kuuzwa au kugawiwa kama kweli zinazuia ukimwi?
   
 9. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #9
  Mar 17, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,868
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  UKIMWI nao utaisha siku moja!

  Ila mapadre waache kuwalawiti watoto wadogo wakiume!
   
 10. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #10
  Mar 17, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Sidhani kama upo serious.

  Kama umeshindwa kusikiza anayokwambia Mola wako, utaweza kusikiliza ya Benedict wa 16? Ndio maana mimi huamini kuwa wahenga hawakosei, waliponena, Sikio la kufa halisikii dawa.

  Halaf ni makosa sana, kuhamishia argument kwa mtu (mjumbe) badala ya ujumbe wenyewe, sikutegemea mkuu wangu uta-fail on this.


  Be blessed..
   
 11. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #11
  Mar 17, 2009
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kwani amekosea aliposema hao jamaa wanalawiti watoto? kwani uongo?
   
 12. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #12
  Mar 17, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Hapa mkuu inazungumzwa mitazamo tofauti ya namna ya kukabiliana na ukimwi, kwa njia ipi? na si mapungufu ya watu fulani fulani, au unataka Papa kila aendako aseme kuwa anapinga ulawiti, ushoga, n.k kwa wakati mmoja?
   
 13. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #13
  Mar 17, 2009
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkuu kule visiwani wajumbe wa uwakilishi wakitetea serikali yao husema "naunga mkono mia kwa mia" na mimi nakuunga mkono kwa dizaini ya CCM 100 kwa 100.
  Ashakum maneno si matusi hivyo hiyo kondom huwa inaziba hadi juu kabisa ya u u me?. Tusidanganyane tumeshatumia hizo kondom na nyakati nyengine kazi ikiwa pevu ukimaliza inabidi uuitafute ndani ya u c h i wa mwanamke.
  Najuwa wako watakaosema kuwa labda hizo kondom hazina kiwango na iwe hivyo lakini katika biashara hizi za udanganyifu na mtu asiejuwa kitu akishaambiwa na Rais wake mstaafu, muislamu mwenye maadili kuwa kondom ni suluhisho la kufanya zina, nini unategemea? tutakufa lakini nakumbuka ile stori ya mlevi aliepita msikitini akakuta shehe anatowa mawaidha na akasema
  "watishe hao!" Ni bora hivyo kuliko alivyofanya mzee wetu.
   
 14. M

  Mtarajiwa JF-Expert Member

  #14
  Mar 17, 2009
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 440
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mods naona inaelekea kwenye dini dini kwahiyo isitirini mahali pake
   
 15. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #15
  Mar 17, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,868
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Unajua ukiona Mapadre tena viongozi ndo wanawalawiti kondoo zao tena watoto wadogo wa kiume tena bila kondon (ushahidi ninao) halafu eti Pope aneongelea haya mambo!!!

  What moral authority does he have is he can not even discpline the Mapadres??

  Ni ngumu sana mtu wa kawaida kumwelewa yaani Pope anaongelea nini!

  Clean your house 1st.. then when it is clean..tell others over issues of morals!
   
 16. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #16
  Mar 17, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Kamuulize Mtume wako Mwamedi, aliyekabaka katoto ka miaka 8, nadhani yeye atakuwa na majibu mazuri zaidi.

  Shukran
   
 17. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #17
  Mar 17, 2009
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Mtume nani? Mwamedi? huyo hatumjui waIslam, labda wako huyo.
   
 18. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #18
  Mar 17, 2009
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Condom hata mimba haizuii ije iwe ukimwi thubutuuuuuuuuuuuu
   
 19. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #19
  Mar 17, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Msg SENT! :D
   
 20. M

  Mtarajiwa JF-Expert Member

  #20
  Mar 17, 2009
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 440
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wandugu back to the mada ukweli ni kwamba sayansi huwa haikubaliana na imani.condom inazuia maambukizi ya ukimwi na alilofanya Mzee Mwinyi ni jambo jema kabisa isipokuwa hakuwa katika sehemu muafaka.Hizi propaganda za kusema condom haizuii ukimwi hazina scientific proof yoyote.Wanaposema condom inazuia ukimwi kwa 95% kwa mfano manake yake ni kwamba ile 5% inaweza kuwa kwa sababu condom haikuvaliwa vizuri ama imekwisha muda wake na siyo kwamba etu condom ina vitundu kwa mbele wadudu wanaweza kupita.Kwahiyo ukipata condom ambayo ni ya quality nzuri na ikatumika vizuri basi hakutakuwa na maambukizi ya ukimwi.
  Viongozi wa dini wanataka kuigeuza vita ya ukimwi kuwa ya kiimani tu kitu ambacho hakitakaa kiwezekane kamwe.Wao waendelee na kazi yao nzuri ya ku promote sexual abstinence kwa waumini wao na wawaache wanaharakati wengine waendelee kuuza sera ya condom.
  Waache unafiki kwa sababu wanajua kabisa wao wenyewe ni wadhaifu kama binadamu wengine pia ambao mwisho wa siku ya ibada wanajikuta wanaangukia kwenye uovu wa zinaa.Sasa kipi bora:waumini waendelee kufa kwa ukimwi kwa sababu wamekatazwa kutumia condom au watumie condom na mwisho wa siku wanaweza kutubu na kuokolewa na Mungu wao?
   
Loading...