Nyie mnakimbia majukumu, ukimpa ujauzito huyo msichana uliyekuwa unampa promise nzuri na za kupendeza unakimbilia kumwambia siitaki katoe tena unakuwa mkali kweli na pesa juu unampa, nyie wanaume ndio wakatili sana na hii kitu inawatafuna wanaume waliofanya hivi na kwenda kuoa kwingine wakidhani wataishi kwa furaha hata huko majanga huwapata tu. Huu uzi wangecomment mnaowaita 'single mother' hawa ndio wanaweza kuja na kuponda hii kitu kwa kuwa walikubali kukataliwa na kubeba majukumu ya kulea damu za vichaa vidume na kuwashauri wadada wasitoe mimba ila sio mwanaume unacomment vitu visivyoeleweka hili swala litaisha tu endapo mtakubali majukumu ila tofauti na hapo kila msichana ana mawazo yake. Ila wanaomba rehema na maisha yanasonga. Ila solution ni kuacha ziana maana ndio zao lake.