naona FF ANANIPINGA KWA NGUVU ZOTE
Dereva wa Abood wana njaa sana, mshahara kwa mwezi ni laki2, na hakuna marupurupu mengine yyt yale.
Hapo watakuwa wanajaribu kujitafutia riziki ya ziada ili watoto wao waweze kwenda chooni???
ni kweli hii nimeshuhudia wakati wa kwena Moro, ndiyo maana siku hizi unatumia masaa manne, stoppage nyingi sana mpondamalikwahili naweza kuamini sasa maana kuna mdau wamabasi haya anasema mambo yameenza kuwa simazuri kinidhamu katika kampuni ya ABOOD BUS SERVICE. Madereva na makonda feki wapo sana wanakula vichwa njianii bus linaweza kusimama vituo vyote vya njia ya DAR-MORO
namimi naona, watakua hawakusoma alama za nyakati?
HATA AC hawawashi, na hiyo huenda ni njaa ya maderev maana nasikia mara nyingine wanawasha, ningeshauri walau wafanye elfu kumi na huduma ziwe bora waache uswahili maana wateja wanakimbiayaah,,kanunua zile yutong kimazoea hakuchek mbele kuna nn....kanunua a.c tu pale
Mbona hizo ndoo hazijakaliwa na mtu? tutaamini vipi kama si ufataani tu?