sina maslahi yoyote kwenye sekta ya mabasi, hadi niseme uongo/singizie Faiza Fox, hivyo nim share tu nilichoona kwa macho FF, lakn upo sahihi kudai ushahidi kama alivyofanya TomasoMbona hizo ndoo hazijakaliwa na mtu? tutaamini vipi kama si ufataani tu?
Mbona hizo ndoo hazijakaliwa na mtu?
duh, haya...
MWAMBIE FAIZA FoxKilichoandikwa ni kweli, safari za mabasi haya Dar Moro ni za kuiba abiria njiani kisha ukifika chalinze anawashusha na kuwambia watangulie mbele mdogomdogo ili apite kizuizi cha ukaguzi vizuri kisha mbele kidogo anawapakia hivo hivo na hao jamaa wa ndoo nauli zao ni 5000/=
only in TanzaniaKilichoandikwa ni kweli, safari za mabasi haya Dar Moro ni za kuiba abiria njiani kisha ukifika chalinze anawashusha na kuwambia watangulie mbele mdogomdogo ili apite kizuizi cha ukaguzi vizuri kisha mbele kidogo anawapakia hivo hivo na hao jamaa wa ndoo nauli zao ni 5000/=
naona FF ANANIPINGA KWA NGUVU ZOTE
picha umewekewa bado uhamini ?.