Abiria washushwa kwenye Ndege baada ya kuongea kiarabu

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,570
2,000
Ni abiria wengine wachache ndio walipaza sauti
kutaka Abiria waliokua wakiongea kiarabu
washushwe kwenye ndege ya shirika la ndege la
Marekani liitwalo Delta ambapo Wahudumu wa
ndege hiyo walichukua uamuzi wa kuwashusha. Baada ya kuambiwa kuhusu kuondolewa kwao
kwenye ndege hiyo abiria hao walianza kulalamika
na kusema huo ni ubaguzi wa waziwazi kisa
wameongea lugha nyingine,
 
mwasu

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
10,203
2,000
sasa itafutwe basi lugha ya dunia tukiwa mataifa tofauti tuongee hiyo hata sisi tumechoshwa na interviw za kiingereza bana.
 
Hute

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,556
2,000
Ni abiria wengine wachache ndio walipaza sauti
kutaka Abiria waliokua wakiongea kiarabu
washushwe kwenye ndege ya shirika la ndege la
Marekani liitwalo Delta ambapo Wahudumu wa
ndege hiyo walichukua uamuzi wa kuwashusha. Baada ya kuambiwa kuhusu kuondolewa kwao
kwenye ndege hiyo abiria hao walianza kulalamika
na kusema huo ni ubaguzi wa waziwazi kisa
wameongea lugha nyingine,
hata mimi ningewashusha, kwasababu wale wanaojilipua huwa wanaongea lugha hiyo hiyo. hata yule aliyempiga risasi balozi wa russia alikuwa anaongea hayohayo. na delta imeshakoswakoswa mara nyingi na hao jamaa, kuna kijana wa nigeria nakumbuka alishafanikiwa kupanda na maligafi kabisa akashindwa tu kuilipua. wewe unapanda ndege na watu wanaojua kuwa wanawindwa halafu unaanza kuongea lugha wanayoiogopa na lugha hiyo hawaielewi, watajua mnapanga nini? si wangeongea kiingereza tu basi ili wenzao wasafiri kwa amani? uking'atwa na nyoka hata unyasi unaruka.
 
Mnyirani

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
886
500

So viwanja vya ndege marekani havina vyombo vya usalama?
 
Infopaedia

JF-Expert Member
Oct 28, 2011
1,071
2,000
Sii ukweli hio ilikua ni prank.unajua maana ya PRANK?
Prank hu-reflect reality. Ukitishiwa nyoka wa plastic ukaogopa mpaka ukajikojolea. Hicho ndicho kiwango chako cha uwoga kwenye 3D life. Na hilo ndio dhumuni la prank......kuonyesha uhalisia uliojificha ndani kabisa, uonekane hadharani.
 
naumbu

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
4,687
2,000
Nadhani hiyo lugha hata shetani huwa anaitumia hiyo
Acha unafiki;heshimu tamaduni na Imani za wenzio,unajiita damu ya Yesu alafu unampinga!Yesu alisema amri iliyo kuu ni Upendo au ni blood of Jesus Navas na sio wa Nazareth?
 
mgogoone

JF-Expert Member
Dec 28, 2015
2,913
2,000
Ni abiria wengine wachache ndio walipaza sauti
kutaka Abiria waliokua wakiongea kiarabu
washushwe kwenye ndege ya shirika la ndege la
Marekani liitwalo Delta ambapo Wahudumu wa
ndege hiyo walichukua uamuzi wa kuwashusha. Baada ya kuambiwa kuhusu kuondolewa kwao
kwenye ndege hiyo abiria hao walianza kulalamika
na kusema huo ni ubaguzi wa waziwazi kisa
wameongea lugha nyingine,
 
Blood of Jesus

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
1,211
2,000
Acha unafiki;heshimu tamaduni na Imani za wenzio,unajiita damu ya Yesu alafu unampinga!Yesu alisema amri iliyo kuu ni Upendo au ni blood of Jesus Navas na sio wa Nazareth?
Sio hivo mkuu, fikiria (jenga picha kichwani): ndugu yako umpendaye anachinjwa au anapigwa risasi na mtu ambaye anatumia hiyo lugha huku akimtukuza "wanaemwita ni mungu wao". Just imagine!!

Ni kweli tumeamuriwa kupendana, ila sio kumpenda shetani. - kumbuka shetani ndiye anaewaongoza wauaji.
 
mgogoone

JF-Expert Member
Dec 28, 2015
2,913
2,000
Wachangiaji wengi wanafurahi hao watu kushushwa Kwa sababu walikuwa wanaongea Kiarabu Au wanafikiria NI Waislam.Muhimu katika hiyo video Au kitendo cha kubaguliwa sio kitu kidogo.
Je wewe ukibaguliwa Kwa sababu wewe NI Kabila fulani au Dini fulani utajihisi vipi?
Gandhi aliwahi kusema "Jicho Kwa jicho ulimwengu mzima utakuwa vipofu"
 
mgogoone

JF-Expert Member
Dec 28, 2015
2,913
2,000
Nadhani hiyo lugha hata shetani huwa anaitumia hiyo
Kwa sababu ya chuki zako Tafadhali usitumie
Damu ya Yesu maana Hata Yesu anakushangaa. Jiite Shetani Au Ibilisi2 maana ibilisi1 imechukuliwa au Roho ya korosho maana Rohombaya imechukuliwa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom