Abiria washushwa kwenye Ndege baada ya kuongea kiarabu

hata mimi ningewashusha, kwasababu wale wanaojilipua huwa wanaongea lugha hiyo hiyo. hata yule aliyempiga risasi balozi wa russia alikuwa anaongea hayohayo. na delta imeshakoswakoswa mara nyingi na hao jamaa, kuna kijana wa nigeria nakumbuka alishafanikiwa kupanda na maligafi kabisa akashindwa tu kuilipua. wewe unapanda ndege na watu wanaojua kuwa wanawindwa halafu unaanza kuongea lugha wanayoiogopa na lugha hiyo hawaielewi, watajua mnapanga nini? si wangeongea kiingereza tu basi ili wenzao wasafiri kwa amani? uking'atwa na nyoka hata unyasi unaruka.
Hata wewe ulipotoka ni sawa na yeye kujilipua je? Pia yeye utamshusha. Wewe mwenyewe ni nyani tu kwao na ni mtumwa tu kwao. Usiwe na fikra za kushenzi kama ulivyo lazima kwanza upunge ushenzi wa ubaguzi na kama wewe unauunga mkono na wewe ni kama wao. Mnawapenda walio uhalalisha na watakuja kutufira hukuhuku kama vile tunavyowaunga katika mambo yao
 
Hata wewe ulipotoka ni sawa na yeye kujilipua je? Pia yeye utamshusha. Wewe mwenyewe ni nyani tu kwao na ni mtumwa tu kwao. Usiwe na fikra za kushenzi kama ulivyo lazima kwanza upunge ushenzi wa ubaguzi na kama wewe unauunga mkono na wewe ni kama wao. Mnawapenda walio uhalalisha na watakuja kutu**** hukuhuku kama vile tunavyowaunga katika mambo yao
kama tuwe wakweli. ISIS wame vow kuwamaliza watu wa ulaya, hata huyo jamaa wa ujerumani wa juzi alipeleka kwenye lile soko ili auwe wanaojiandaa kwa christmass kwasababu haipendi hiyo dini. wame train watu wengi sana wakawapeleka ulaya na marekani wakijifanya wahamiaji wamekimbia vita, kumbe ni allies wa ISIS. hivi, piga picha miaka miwili iliyopita, kuna mwanadamu yeyote hapa duniani aliwahi kujilipua, kufanya ugaidi kuua watu kama sio hao wanaoongea kiarabu?nani mwingine mwenye uwezo wa kulipua ndege, majengo etc kama sio wenye kuongea kiarabu kama wewe? hakika mimi ningewashusha kwasababu nitakuwa sijui wanajadili nini.....hata hao wanaolipua watu huwa wanasema alah akbaru......hahahahaha.
 
Kwa sababu ya chuki zako Tafadhali usitumie
Damu ya Yesu maana Hata Yesu anakushangaa. Jiite Shetani Au Ibilisi2 maana ibilisi1 imechukuliwa au Roho ya korosho maana Rohombaya imechukuliwa.
Wenye chuki ni hao wanaowaua watu wasio na hatia kwa kujitoa muhanga. Shetani amewadanganya kuwa mkiua mnaenda peponi. Jitahidini kubadilika sasa; Hakuna mbingu ya WAUAJI. mungu anaetoa maelekezo ya mtu kumuua mwingine ni ibilisi huyo.
 
Back
Top Bottom