Aisee jamaa wameshikwa pabaya. Kiki zote jamaa kazuiaHahahaah...ugomvi wa makonda na ruge...ilikuwa ni mtaji mkubwa wa CHADEMA.....sasa kupatanishwa kwao jana...kimewauma balaaaa......
Na mmeshikwa kubaya awamu hii......
Daudi =David, have a blessed sundayhhahaha hv kwa huu mfano tuseme makionda anaweza kuwa G.R.A.C.E?nauliza tu
Haaha mpatanishi kiboko kwelikweli.Ikiwa yapata nusu saa tokea kupaa kwake ndege moja iliyobeba abiria zaidi ya 200 .
.. ..ikasikika sauti laini tokea kwa rubani ikisema [HASHTAG]#engine[/HASHTAG] moja haifanyi kazi na iliyobaki haina nguvu kabisa ni wakati wa kufanya maombi kwani muda sio mrefu ndege hii inaanguka..... tumieni nafasi hii kuombana msamaha ili tufike mbinguni salama."
Abiria wakaogopa sana na [HASHTAG]#ukimya[/HASHTAG] na hofu vikatawala
#David_na_Grace walikuwa ni mojawapo ya abiria wa ndege ile....
GRACE: Mume wangu nisamehe Aidan sio mwanao ni mtoto wa yule mlinzi,na hata kipindi umetekwa wakat umefuata pesa benki ilikuwa ni mpango wangu ili nipate pesa ya ada ya boyfriend wangu chuo kikuu.
DAVID: Wala usijali mamy, unisamehe pia kwa kuwa nishatembea na wadogo zako karibia wote kibaya zaidi yule mdogo angel ni mjamzito
.watu wakiwa wanaendelea kuombna msamaha ikasikika sauti ikisema
"Asante kwa maombi yenu hali ya ndege imetengamaa na tutafika salama"
Watu wote "aaaaahhhh si ulisema inaanguka???
.... Tunasema ndege lazima ianguke hiii...... haiwezekani..... kama imeshindikana tunaiangusha wenyewe..... qwiqwiqwiqwiiiii
Ghafla alinyanyuka mtu mmoja aliyejipa mamlaka ya [HASHTAG]#upatanishi[/HASHTAG] japo wengi awanamuona [HASHTAG]#mnaa[/HASHTAG] tu ...Oops.
Akasimama nakujikoholesha kidogo kisha akawaita #Grace_na_Mume wake kisha akawaambia haya #Shikaneni_mikono na mkamalize tofauti zenu huko qwiqwiqwiqwiiiii..... Namna ya umalizaji mitafruku namna hii imetajwa kuwa ni namna mpya kenye karne hii....
Mwisho wa stori....
#Ndege_bado_ilikuwa_hewani mikono ya #Grace_na_mumewake ilifanikiwa kugusana ila siyo #mioyo_yao kukubaliana.
Mkuu Prosper Mushi lete chenji yangu ninunue ugoro nivute nilime bamia zangu hapa Mbutu mie...
Na Yericko Nyerere
View attachment 559121
Nani amekuambia wameoatana? Hakuna upatanisho wa hivyo. Jipu nilazima litumbuliwe usaha utoke ndo tiba. Huwezi paka mafuta juu ya usaha bila kuusafisha kwanza. Acheni unafiki.Nimecheka sana na ukoo wao TEF sijui watakuja na tamko gani lingine.. Baada ya David na Grace kupatanishwa..
David na Grace hawajapatana wameshikana mikono baada ya kila mmoja wapo kueleza makosa yake. Je wale wa jana hebu tuelezewe makosa ya kila mmoja!Nimecheka sana na ukoo wao TEF sijui watakuja na tamko gani lingine.. Baada ya David na Grace kupatanishwa..
Mwenye macho haambiwi ona, labda nikusaidie niwekee picha mnato ya wawili wale nitawabainisha.Kwenye ile issue ya jana David ni yupi na Grace na yyupiyy?
Kilio hiki bwana Lowassa utakilipia kabla ya 2015Hiyo inahusiano gani na stori hii?
Kuna maswali mengi mkuu unatakiwa kuyajibu katika uzi huuIkiwa yapata nusu saa tokea kupaa kwake ndege moja iliyobeba abiria zaidi ya 200 .
.. ..ikasikika sauti laini tokea kwa rubani ikisema [HASHTAG]#engine[/HASHTAG] moja haifanyi kazi na iliyobaki haina nguvu kabisa ni wakati wa kufanya maombi kwani muda sio mrefu ndege hii inaanguka..... tumieni nafasi hii kuombana msamaha ili tufike mbinguni salama."
Abiria wakaogopa sana na [HASHTAG]#ukimya[/HASHTAG] na hofu vikatawala
#David_na_Grace walikuwa ni mojawapo ya abiria wa ndege ile....
GRACE: Mume wangu nisamehe Aidan sio mwanao ni mtoto wa yule mlinzi,na hata kipindi umetekwa wakat umefuata pesa benki ilikuwa ni mpango wangu ili nipate pesa ya ada ya boyfriend wangu chuo kikuu.
DAVID: Wala usijali mamy, unisamehe pia kwa kuwa nishatembea na wadogo zako karibia wote kibaya zaidi yule mdogo angel ni mjamzito
.watu wakiwa wanaendelea kuombna msamaha ikasikika sauti ikisema
"Asante kwa maombi yenu hali ya ndege imetengamaa na tutafika salama"
Watu wote "aaaaahhhh si ulisema inaanguka???
.... Tunasema ndege lazima ianguke hiii...... haiwezekani..... kama imeshindikana tunaiangusha wenyewe..... qwiqwiqwiqwiiiii
Ghafla alinyanyuka mtu mmoja aliyejipa mamlaka ya [HASHTAG]#upatanishi[/HASHTAG] japo wengi awanamuona [HASHTAG]#mnaa[/HASHTAG] tu ...Oops.
Akasimama nakujikoholesha kidogo kisha akawaita #Grace_na_Mume wake kisha akawaambia haya #Shikaneni_mikono na mkamalize tofauti zenu huko qwiqwiqwiqwiiiii..... Namna ya umalizaji mitafruku namna hii imetajwa kuwa ni namna mpya kenye karne hii....
Mwisho wa stori....
#Ndege_bado_ilikuwa_hewani mikono ya #Grace_na_mumewake ilifanikiwa kugusana ila siyo #mioyo_yao kukubaliana.
Mkuu Prosper Mushi lete chenji yangu ninunue ugoro nivute nilime bamia zangu hapa Mbutu mie...
Na Yericko Nyerere
View attachment 559121
Kwa mujibu wa bandiko la Yericko Nyerere hii thread haihusiani na tukio la jana Tanga...David na Grace hawajapatana wameshikana mikono baada ya kila mmoja wapo kueleza makosa yake. Je wale wa jana hebu tuelezewe makosa ya kila mmoja!
Sent using Jamii Forums mobile app
hiloo hata haichekeshi. Qubhaaafu!!Nilidhani ni muendelezo wa ile story ya ndege iliyobadili gia angani,ila hii inanikumbusha ile story ya wakimbiza mwizi tu kumalizana tofauti zao na mwizi kwa niaba ya waliyoibiwa kisha wakasema asiyeridhika aende akashtaki.
Mkuu Yericko,tatizo la ukilaza ni kubwa sana Tanzania,na hapa JF nimegundua ni kubwa zaidi ya nilivyokuwa nafikiri. Wasamehe bure watu wa namna hiyo.Hiyo inahusiano gani na stori hii?
Duh! kumbe huu uzi ni wa vichekesho?hiloo hata haichekeshi. Qubhaaafu!!