Abiria mnafiki alivyonusuru ajali ya ndenge..

Yericko Nyerere

Platinum Member
Joined
Dec 22, 2010
Posts
17,027
Reaction score
20,519
Ikiwa yapata nusu saa tokea kupaa kwake ndege moja iliyobeba abiria zaidi ya 200 .

.. ..ikasikika sauti laini tokea kwa rubani ikisema [HASHTAG]#engine[/HASHTAG] moja haifanyi kazi na iliyobaki haina nguvu kabisa ni wakati wa kufanya maombi kwani muda sio mrefu ndege hii inaanguka..... tumieni nafasi hii kuombana msamaha ili tufike mbinguni salama."

Abiria wakaogopa sana na [HASHTAG]#ukimya[/HASHTAG] na hofu vikatawala

#David_na_Grace walikuwa ni mojawapo ya abiria wa ndege ile....

GRACE: Mume wangu nisamehe Aidan sio mwanao ni mtoto wa yule mlinzi,na hata kipindi umetekwa wakat umefuata pesa benki ilikuwa ni mpango wangu ili nipate pesa ya ada ya boyfriend wangu chuo kikuu.

DAVID: Wala usijali mamy, unisamehe pia kwa kuwa nishatembea na wadogo zako karibia wote kibaya zaidi yule mdogo angel ni mjamzito
.watu wakiwa wanaendelea kuombna msamaha ikasikika sauti ikisema
"Asante kwa maombi yenu hali ya ndege imetengamaa na tutafika salama"

Watu wote "aaaaahhhh si ulisema inaanguka???

.... Tunasema ndege lazima ianguke hiii...... haiwezekani..... kama imeshindikana tunaiangusha wenyewe..... qwiqwiqwiqwiiiii

Ghafla alinyanyuka mtu mmoja aliyejipa mamlaka ya [HASHTAG]#upatanishi[/HASHTAG] japo wengi awanamuona [HASHTAG]#mnaa[/HASHTAG] tu ...Oops.

Akasimama nakujikoholesha kidogo kisha akawaita #Grace_na_Mume wake kisha akawaambia haya #Shikaneni_mikono na mkamalize tofauti zenu huko qwiqwiqwiqwiiiii..... Namna ya umalizaji mitafruku namna hii imetajwa kuwa ni namna mpya kenye karne hii....

Mwisho wa stori....

#Ndege_bado_ilikuwa_hewani mikono ya #Grace_na_mumewake ilifanikiwa kugusana ila siyo #mioyo_yao kukubaliana.

Mkuu Prosper Mushi lete chenji yangu ninunue ugoro nivute nilime bamia zangu hapa Mbutu mie...

Na Yericko Nyerere

IMG_20170805_202445_615.jpg
 
Mh! Ya jana haya. Huenda rubani akatangaza kushindwa kwa injini zote mbili na bawa moja kukatika dakika chache zijazo. Mungu tusamehe.
 
Ndugu wakigombana tushike majembe tukalime haya sasa ni ule wakati wa kwenda kuvuna kwani nayo ni habari!
 
Hahahaah...ugomvi wa makonda na ruge...ilikuwa ni mtaji mkubwa wa CHADEMA.....sasa kupatanishwa kwao jana...kimewauma balaaaa......
Na mmeshikwa kubaya awamu hii......
 
Nimependa [HASHTAG]#Mpatanishi[/HASHTAG] [HASHTAG]#Mnaa[/HASHTAG].Mkuu unamkojo wa kutosha.
Hivi mwanaume anaulizia mkojo wa mwanaume mwenzie ili afanyeje.
Ha ha ha eti mkojo wa kutosha!ili apime mimba?

Sent from my TV
 
Nimecheka sana na ukoo wao TEF sijui watakuja na tamko gani lingine.. Baada ya David na Grace kupatanishwa..
 
Duuuuuuuuh....
Story tamu kwel kwel hii....

Cc: Ruge, bashite plus Sizonje.
 
Nilidhani ni muendelezo wa ile story ya ndege iliyobadili gia angani,ila hii inanikumbusha ile story ya wakimbiza mwizi tu kumalizana tofauti zao na mwizi kwa niaba ya waliyoibiwa kisha wakasema asiyeridhika aende akashtaki.
 
Ikiwa yapata nusu saa tokea kupaa kwake ndege moja iliyobeba abiria zaidi ya 200 .

.. ..ikasikika sauti laini tokea kwa rubani ikisema [HASHTAG]#engine[/HASHTAG] moja haifanyi kazi na iliyobaki haina nguvu kabisa ni wakati wa kufanya maombi kwani muda sio mrefu ndege hii inaanguka..... tumieni nafasi hii kuombana msamaha ili tufike mbinguni salama."

Abiria wakaogopa sana na [HASHTAG]#ukimya[/HASHTAG] na hofu vikatawala

#David_na_Grace walikuwa ni mojawapo ya abiria wa ndege ile....

GRACE: Mume wangu nisamehe Aidan sio mwanao ni mtoto wa yule mlinzi,na hata kipindi umetekwa wakat umefuata pesa benki ilikuwa ni mpango wangu ili nipate pesa ya ada ya boyfriend wangu chuo kikuu.

DAVID: Wala usijali mamy, unisamehe pia kwa kuwa nishatembea na wadogo zako karibia wote kibaya zaidi yule mdogo angel ni mjamzito
.watu wakiwa wanaendelea kuombna msamaha ikasikika sauti ikisema
"Asante kwa maombi yenu hali ya ndege imetengamaa na tutafika salama"

Watu wote "aaaaahhhh si ulisema inaanguka???

.... Tunasema ndege lazima ianguke hiii...... haiwezekani..... kama imeshindikana tunaiangusha wenyewe..... qwiqwiqwiqwiiiii

Ghafla alinyanyuka mtu mmoja aliyejipa mamlaka ya [HASHTAG]#upatanishi[/HASHTAG] japo wengi awanamuona [HASHTAG]#mnaa[/HASHTAG] tu ...Oops.

Akasimama nakujikoholesha kidogo kisha akawaita #Grace_na_Mume wake kisha akawaambia haya #Shikaneni_mikono na mkamalize tofauti zenu huko qwiqwiqwiqwiiiii..... Namna ya umalizaji mitafruku namna hii imetajwa kuwa ni namna mpya kenye karne hii....

Mwisho wa stori....

#Ndege_bado_ilikuwa_hewani mikono ya #Grace_na_mumewake ilifanikiwa kugusana ila siyo #mioyo_yao kukubaliana.

Mkuu Prosper Mushi lete chenji yangu ninunue ugoro nivute nilime bamia zangu hapa Mbutu mie...

Na Yericko Nyerere

View attachment 559121
Hivi mkuu wewe na nywele nyeupe mlipatana vipi? Maana madongo yako uliyompa mwanzoni mwa 2015 yalikua ya hatari!!!!!
 
Nilidhani ile story ya ndege iliyobadili gia angani,ila hii inanikumbusha ile story ya wakimbiza mwizi tu kumalizana tofauti zao na mwizi kwa niaba ya waliyoibiwa kisha wakasema asiyeridhika aende akashtaki.
We jamaa, unawabip wazee wa Ufipa? Ngoja waje.
Anyway akikujibu nitag fasta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom