Huyo jamaa inasemekana alikuwa anakunywa konyagi tangu alipoingia kwenye basi na walipokuwa wanaondoka kahama jamaa alikuwa anashindwa kupanda hata kwenye basi, konda akamsaidia. Mpaka mauti yalipomkuta alikuwa anamalizia chupa ya 4.
Source ni RFA kipindi cha matukio leo asubuhi.
Kweli ulevi noma!

in alilah la in alillahi raijun
...Huenda jamaa alikuwa frastrated maana haya maisha bana sio mchezo. Hapo madeni, au katimuliwa kibarua Dodoma hotel, wife hajatulia, nyumba ndogo inakupelekesha au amegonga demu mwenye ngoma ili mradi ni taabu tu. any way RIP George , kufa ni kufa tu..Ni kweli ilitokea hivyo mimi nimesimuliwa na jamaa yangu aliyekuwemo kwenye basi hilo. Marehemu alipandia Dodoma na inasemekana alikuwa mwajiriwa wa Dodoma Hotel.