TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 13,755
- 21,212
MAJADILIANO mengi kuhusu tuzo aliyopata Mzanzibari aishie majuu Prof. Abdurazak yamejitokeza kwa wingi kwenye mabalaza ya mitandao ya kijamii ikiwepo la huyo jamaa si mtanzania bali Mzanzibari na watanganyika hawapaswi kumpa pongezi ili hali hizi ni nchi moja.
Mapema leo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alizungumza kwa njia ya mtandao na mshindi wa tuzo ya Nobel ya Fasihi mtanzania mwenye asili ya Zanzibar Prof. Abdurazak Salum Gurnah.
Akizungumza akiwa Ofisini kwake Ikulu mjini Zanzibar na Rais Hussein amempongeza kwa ushindi wa Tuzo hiyo na kusema ni ushindi huo unaipa nchi sifa Tanzania.