MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,970
Abduli Kambaya anayejiita kaimu Mkurugenzi wa habari na mawasiliano wa CUF,jana wakati akiongoea na chama kimoja cha habari kuhusu yeye na wenzake kutorosha pesa za ruzuku za CUF amedhihirsha si mtu mwema hata kidogo, huyu ndiye anayetumwa kuharibu mambo. Uongo wake umedhihiri barabara kufuatia maswali haya yanayoibuka kuhusu maneno yake;
1.Ni kweli hakuna mgogoro ndani ya CUF?
2.Ni uhalali upi unatumika kutolea pesa za ruzuku kupitia akaunti ya chama wilaya ya Temeke?
3.Wamiliki wa akaunti au rasirimali za chama kwa niaba ya chama ni kina nani?
4.Msajili anatoaje ruhusa ya kutoa ruzuku bila kuhusisha pande zote mbili?
5. Au Kambaya na wenzake walimtapeli Msajili wa vyama vya siasa kua hakuna tena mgogoro ndani ya Chama ili kujipatia pesa kwa udanganyifu?