Tetesi: Abdallah Bulembo akalia kuti kavu kisa elimu yake

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
16,535
37,509
Tetesi kutoka Lumumba na Dodoma ni kuwa mwenyekiti wa jumuia ya wazazi nchini Bw.Abdallah Bulembo amekalia kuti kavu.Hii ni siku chache kabla ya mwenyekiti mpya wa CCM kushika kiti .

Tetesi zinadai mwenyekiti mpya amedai hayuko tayari kufanya kazi na viongozi wa idara na jumuiya ambao hawana sifa za kitaaluma kuongoza idara hizo zilizo chini ya CCM.

Taharifa zinadai watu wameanza kampeni za chini kwa chini kuirithi nafasi yake Bw.Majura aambaye inasemekana elimu yake inatiiwa shaka.
 
Mkuu acha unafiki, mwenyekiti hana cha kufanya katika hilo, maana amechaguliwa na sio kuteuliwa. Hapo labda adondoke kwenye uchaguzi ujao
unajua shinikizo maana yake nini,hata abdul jumbe alichaguliwa akashinikizwa kuachia madaraka
 
Tetesi kutoka Lumumba na Dodoma ni kuwa mwenyekiti wa jumuia ya wazazi nchini Bw.Abdallah Majula Bulembo amekalia kuti kavu .hii ni siku chache kabla ya mwenyekiti mpya wa CCM kushika kiti .Tetesi zinadai mwenyekiti mpya amedai hayuko tayari kufanya kazi na viongozi wa idara na jumuiya ambao hawana sifa za kitaaluma kuongoza idara hizo zilizo chini ya CCM.Taharifa zinadai watu wameanza kampeni za chini kwa chini kuirithi na fasi yake Bw.Majura aambaye inasemekana elimu yake inatiiwa shaka


Mmmmmmmmmmmh
 
Kupata uongozi ndani ya CCM kigezo sio elimu, unatakiwa uwe unajua kupiga fitina na majungu kama lizabon anavyofanya sasa hivi kuwachafua kina Rajab luhwavi. Na huu ndyo utaratibu wao. suala la elimu halipewi kipaumbele ndani ya chama hiki na hili lilidhihirishwa wakati wa bunge la katiba ambapo waliweka kipengele kuwa ili uwe na sifa ya kugombea ubunge unatakiwa ujue kusoma na kuandika hatua iliyosababisha yule mbunge maarufu kama "jah people" kacheza kiduku bungeni kwa kuwa naye ni mweupe kichwan
 
Wooote tunaisoma namba, kumbe ndiyo maana wanafanya kampeni za chini kwa chini ili Magufuli asipewe uenyekiti
 
Back
Top Bottom