Abdalah Msamba is no more..............

mandemba

Senior Member
Apr 7, 2012
103
195
Nguli wa soka hapa bongo aliyewahi kutamba na timu za sigara na simba jijini dar Abdalah Ramadhan "MSAMBA" amefariki dunia usiku wa kuamkia leo...............MORE UPDATE TO COME.....
 

Mtingaji

JF-Expert Member
Sep 28, 2012
1,209
1,225
Mungu amrehemu sawasawa na fadhili zake!

Tafadhali Rage, rambi rambi za huyu msichikichie kama mlivyofanya za Mafisango
Rage kila kitu anapitia, unakumbuka alipitiaga na mpira ya FIFA? Tenga shughulikia shughuli nzima ya kumlaza ndugu yetu kwa heshima zote za kimichezo. RIP Msamba!
 
Top Bottom