Abb tanelec, kilimanjaro machine tools | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Abb tanelec, kilimanjaro machine tools

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MPadmire, Dec 13, 2008.

 1. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #1
  Dec 13, 2008
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,628
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Kiltex, sungura tex,urafiki, emko soap, philips,general tyre

  kama hivi viwanda vingekuwepo mpaka sasa hivi, tanzania ingekuwa wapi

  jamani uzalendo umeisha? Ubinafsi umetawala

  jamani ni ufisadi au kansa?

  Jamani watanzania kila mfanyakazi aibe??? Vizazi vijavyo watapata nini?

  Wakurugenzi, wajumbe wa bodi, mwenyekiti wa bodi
   
Loading...