Aangua kilio baada ya mpenzi wake kuolewa kwa siri

🤣🤣 Una nyota ya kuwatengenezea wenzako njia,Ila we si kijana wa chugga nyie wagumu huwa hamuoi,mnakaaga kinyumba na mwanamke muda mrefu,kama nahreel na aika🤣🤣
Kuna movie Moja nili Iona zaman nahis 2007 , huyo mkaka akitembea na mdada tu, huyo mdada lazima aolewe, Sasa wadada wakawa Wana ongozana wanataka wawe na huyo kaka ili waolewe. Nimeisahau hiyo movie ila Kuna watu watakuwa wanaijua.
 
tukumbuke kuwa sisi ni viongozi na ndo watawala wa hii dunia, Tusiishi kizembe
emoji120.png
emoji120.png
Mmh! kwa hivi vituko navyosoma humu nafikiri Mungu anajifikiria sana kubadili upepo, vijana wanatia aibu.
 
Hii imetokea leo mitaa fulan huku Daslam.

Ipo hivii, jamaa na huyo mwanamke ni wapenzi wa muda mrefu sana, mahusiano yao yalifika mbali kiasi kwamba, huyu jamaa alifahamika na baadhi ya ndugu wa mwanamke.

jamaa alijitoa sana, alisaidia ndugu wa mwanamke. kingine ni kwamba, huyu mwanamke alikuwa na mtoto ambaye alizaa na mshikaji flan hivi ni childhood friend wangu, lakin jamaa hakujali, alikubali kumlea, na mwanamke hakuwahi kumuonyeshea hata chembe ya kuonyesha kuwa hampendi jamaa, yaani alimpa kila kitu.

Jana jamaa kapewa taarifa na msamaria mwema kwamba mpenzi wake anaolewa kesho(yaani leo). Jamaa baada ya kupewa taarifa akaenda moja kwa moja nyumbani kwa akina mwanamke ambapo ndo anakaa na dada zake ili ajue kinagaubaga na ili aongee na mpenzi wake.

kufika pale kweli akakutana na dada zake, baada ya kuwauliza wakamwambia kuwa taarifa alizozisikia ni kweli, na mpenzi wake hayuko pale, yupo kwa wazazi wake anasubiri ndoa ambayo ingefungwa kesho yake.

jamaa baada ya kupokea zile taarifa aliangua kilio kikubwa sana, baadae aliondoka. Leo amekuja tena kushuhudia ndoa ya mpenzi wake na ameangua kilio tena kwa huzuni kubwa yaan kama movie vile, so sad, wanawake mtatuua.

nawaza jamaa sasa hivi sijui atakuwa kwenye hali gani maana dah,

Anyway wanaume tuwe makini, tusiwekeze sana kwa hawa wanawake, kwao kusahau fadhila ni haraka sana.
Tutafute pesa lakini tuwe makini, tusikiuke maandiko tutaangamia, tukumbuke kuwa sisi ni viongozi na ndo watawala wa hii dunia, Tusiishi kizembe
ENYI WAVULANA MTALIZWA NA SINGLE MOTHER HADI LINI?

Mwanamke keshazalishwa na wewe unajitosa eti unampenda, ona sasa. Mbaya zaidi unatoa huduma hadi kwao, stupid kabisa.

SINGLE MOTHERS EEE, ENDELEENI KUWAKOMESHA HADI WAJUE KUWA NINYI NI NYOKA
 
Back
Top Bottom