Kifo chake kilisababishwa na ajari ya ndege mwanzoni mwa mwaka 2000!!!!kama nimekosea nirekebisheni.
Enzi za wakina sisqo,ja rule,2pac, dru hill, miss Eliot..etc..
rip bishosti kidawa..
kama huamini uchawi maana yake huamini uwepo wa mungu

Hataki kuamini uchawi wakati dini anayoiamini inatambua uwepo wa uchawi duniani. Hahahaaa. Waswahili wana mambo bana.