Aagiza azikwe na albamu la picha zake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aagiza azikwe na albamu la picha zake

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kilimasera, Jun 14, 2011.

 1. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  [TABLE]
  [TR="bgcolor: #E1E1E1"]
  [TD]KIJANA Frank Raphael [18] amewaacha wazazi wake wakiwa na masikitiko makubwa baada ya kuamua kujinyonga kutokana kuwahurumia wazazi wake kutokana na ugumu wa maisha unaowakabili na kuamua kujinyonga na kuacha ujumbe azikwe pamoja na picha zake alizopiga zilizopo kwenye album yake.[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"]Tukio hilo la kusikitisha limetokea huko katika Kata ya Isanga Mbeya mjini jana

  Raphael alijinyonga kwa kutumia kamba aina ya katani kwa kile kilichodaiwa kuchoshwa na ugumu wa maisha unaowakabili wazazi wake kwa kumsomesha kwa shida ya hali ya juu na kuamua kufanya hivyo ili awaondolee mzigo wazazi wake hao

  Kijana huyo mwaka jana alimaliza kidato cha nne na matokeo yake yalionyesha kuwa hakufanya vizuri na kipindi hiki alikuwa katika maandalizi ya kurudia mtihani huo

  Hivyo kutokana na ugumu huo wa maisha unaowakabili wazazi wake ameamua kuwaondolea mzigo wazazi wake na kuacha ujumbe kwenye mfuko wake wa suruali aliyokuwa amevaa

  "Naomba wazazi wangu wasituhumiwe kwa lolote.nimeamua kujinyonga mimi mwenyewe, naomba mnizike na picha zangu na madaftari niliyokuwa nikiyatumia shuleni" ulisema ujumbe huo wa kusikitisha

  Frank ni mtoto wa kwanza kati ya watoto watatu katika familia yao, ameacha majonzi makubwa kwa wazazi wake kwa kitendo kilichofanywa na mtoto wao huyo kwani walisema wangekabiliana na ugumu wa maisha hadi mtoto wao aweze kumaliza shule.[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,293
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  R.I.P Raphael.
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,341
  Likes Received: 5,652
  Trophy Points: 280
  aliejiua rip alieuwa rip aliekufa??
   
 4. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #4
  Jun 15, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Mungu wangu, dah! huyo dogo what he went through kabla hajafariki na hatimae kufariki sijui niseme nini.... Maskini wazazi wake.. nashindwa kabisa kuelewa, kuchukua uamuzi huo?? I hope wazazi walikua hawalalami saana kwake kumplekea kufanya hivyo...

  Mungu tunusuru na Ilaze roho ya Marehemu mahala pema...
   
 5. K

  Kapwani JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  poverty, poverty, poverty tanzania  mix with yours
   
 6. K

  Kapwani JF-Expert Member

  #6
  Jun 15, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mungu karibu jamiiforum usome post hizi kisha usamehe yoote yaliyostahili hukumu kwa kijana huyu......mmmh watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa

  mix with yours
   
 7. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #7
  Jun 15, 2011
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  maisha magumu kwa kila mtanzania.
   
 8. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #8
  Jun 15, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ari mpya na kasi zaidi matokeo yake ndio haya hakuna cha ari mpya watu wanajiua maisha magumu
   
 9. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #9
  Jun 15, 2011
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  No Comment
   
 10. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #10
  Jun 15, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Namshauri Mh.Sugu aanzishe mfuko wa kusomesha watoto wasio na uwezo wa kulipa ada katika jimbo lake kama alivyofanya Mh.wa Arusha mjini...
   
 11. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #11
  Jun 15, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kwani ada sh ngapi za kurudia mtihani?
   
 12. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #12
  Jun 15, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,821
  Likes Received: 10,117
  Trophy Points: 280
  Maisha magumu kwa kila Mtanzania Inawezekana
   
 13. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #13
  Jun 15, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Genuinely nimeshindwa la kujibu... assist me tafadhali.
   
 14. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #14
  Jun 15, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  na wameshatuletea...hongera kubwa kwa CCM
   
Loading...