Aaargh...!!!!! hata kama ndo ratiba bana..!!!!

Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,501
1,500
Ki M-Pesa changu kimezingua nikawasiliana na watu wa voda wakanambia nije Mlimani city for a solution, nikaamua niwahi huku kabla sijaenda kuripoti kibaruani kwa mhindi, kufika hapa naambiwa wanaanza kutoa huduma saa tatu, aaargh nimekereka balaa na hela nazihitaji
 
Arushaone

Arushaone

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
14,911
2,000
Haya makampuni ya simu za mikononi yanakera sana Baba V. Utaratibu wao mzuri shida ni implementation mbovuu.. ptuu.. Nway piga simu kwa mkoloni wako kuwa utakam leti. POLE WEE
 
Last edited by a moderator:
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,501
1,500
Haya makampuni ya simu za mikononi yanakera sana Baba V. Utaratibu wao mzuri shida ni implementation mbovuu.. ptuu.. Nway piga simu kwa mkoloni wako kuwa utakam leti. POLE WEE
Ishu sio kwa mkoloni wangu kaka Arushaone ,yaani hadi sasa tupo watu kama hamsini kwenye foleni ambao laiti kama wangefungua saa mbili tungekuwa tumeshahudumiwa na kuondoka, sijui wanapenda foleni ndefu ili waonekane wanafanya kazi sana !!??? aaargh.....!!
 
Last edited by a moderator:
Chilli

Chilli

JF-Expert Member
Jul 17, 2011
1,655
1,225
Ki M-Pesa changu kimezingua nikawasiliana na watu wa voda wakanambia nije Mlimani city for a solution, nikaamua niwahi huku kabla sijaenda kuripoti kibaruani kwa mhindi, kufika hapa naambiwa wanaanza kutoa huduma saa tatu, aaargh nimekereka balaa na hela nazihitaji
yaani haya makampuni ya simu siku hizi kama wapiga ramli hawaaminiki.
Bora uweke hela yako kwenye Kibubu nyumbani kwako.
Pole Baba V
 
ndetichia

ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,664
2,000
tatizo la waswahili huwa hawajui customer care hata kidogo sasa saa tatu siku za kawaida je weekend si ndo itakuwa saa nne na nusu..

komaa tu uhudumiwe Baba V
 
Last edited by a moderator:
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,501
1,500
yaani haya makampuni ya simu siku hizi kama wapiga ramli hawaaminiki.
Bora uweke hela yako kwenye Kibubu nyumbani kwako.
Pole Baba V
Yaani hawa jamaa hovyo kabisa, wanakuja hapa kwa madaha, hivi sijui wabongo kwa nini tunaridhika na vitu vidogo namna hii!??? aaargh....!!!!
 
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,501
1,500
tatizo la waswahili huwa hawajui customer care hata kidogo sasa saa tatu siku za kawaida je weekend si ndo itakuwa saa nne na nusu..

komaa tu uhudumiwe Baba V
Mkuu ndetichia yaani hovyo sana hawa watu, maadam nimeshatibua ratiba zangu nyingine, no way, itabidi nikomae hadi mwisho
 
Last edited by a moderator:
Jeji

Jeji

JF-Expert Member
Jun 28, 2011
1,976
1,195
pole, vp mhindi wako alikuelewa baada ya kufika kibaruani??
 
Judgement

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,342
1,225
Haya makampuni ya simu za mikononi yanakera sana Baba V. Utaratibu wao mzuri shida ni implementation mbovuu.. ptuu.. Nway piga simu kwa mkoloni wako kuwa utakam leti. POLE WEE
@A1 Sijaelewa unamaana makampuni ya simu za mikononi, au Kampuni za mikononi za simu?
 
Last edited by a moderator:
Top Bottom