Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 16,471
- 18,511
Magufuli asilinganishwe na matakataka!Magufuli alimpiga chini ndugu yake wa damu akamweka Gwajima
Magufuli asilinganishwe na matakataka!Magufuli alimpiga chini ndugu yake wa damu akamweka Gwajima
Wakishua huyoUnamaanisha alianza kushika vyeo tangu miaka ya 70 au alitokea kwenye familia ya kitajiri?
Ujinga ujinga.Leo ndiyo nimegundua kumbe Tanzania ndiyo nchi ya hovyo yenye wajinga . Wanaoruhusu mjinga kuwaongoza katika ujinga wake anayefanya maamuzi ya kijinga na wao wakabaki kuujadili ujinga.
😂😂😂😂😂Familia ambayo haina mkuu wa familia ni shida. Utakuta mabinti wa familia ile wanazalishwa na wahuni na kuachwa solemba, vijana wa kiume wanakua wapagazi na machawa na wengine wanaingia kwenye ushoga baada ya kununuliwa pipi na soda. mama yao analiwaliwa na walevi wa pombe za ovyo.
Hiyo ndio Turkmenistan ya sasa.