Aaah kumbe familia

Aaah kumbe familia

Area 56

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,546
Reaction score
4,040
Samia Suluhu Hassan - Rais wa Jamhuri ya MUUNGANO wa Tanzania

2. Wanu Hafidh Ameir - Mtoto wake pia Naibu Waziri wa Elimu

3. Mohamed Mchengerwa — Mkwe wake pia Waziri wa Afya.

4. Mwanaenzi Hassan Suluhu - Mdogo wake Rais pia MBUNGE wa Viti Maalum.
 
Magufuli alimpiga chini ndugu yake wa damu akamweka Gwajima
 
Nyie mnauhakika Samia anaelewa kinachoendelea nchini kweli?
Mtu toka miaka ya sabini anakula blueband kwenye silesi

Anawezaje kujiweka kwenye maisha ya mtu wa tisini anakunywa uji kwa bakuli la bati kijiko hakuna unakata jani la muembe kama kijikomaisha yanaendelea

Halafu anakuja kuwa refarii wa maisha yawaTz kweli.!

Hii hii 2025 Kuna vijiji bado hapaTz kiswahili shule ya msingi ni kama mtu ajifunza kingereza

Maana yake nini.? Hii haifanani na wivu, ila pale paliulizwa mhusika anaweza kujiweka Walipo anaowaongoza.! Wakati yeye ni outcast
 
Samia Suluhu Hassan - Rais wa Jamhuri ya MUUNGANO wa Tanzania

2. Wanu Hafidh Ameir - Mtoto wake pia Naibu Waziri wa Elimu

3. Mohamed Mchengerwa — Mkwe wake pia Waziri wa Afya.

4. Mwanaenzi Hassan Suluhu - Mdogo wake Rais pia MBUNGE wa Viti Maalum.
Si kweli. Ni ufalme unaoletwa kwa mlango wa nyuma. Washindwe Desemba 9
 
Leo ndiyo nimegundua kumbe Tanzania ndiyo nchi ya hovyo yenye wajinga . Wanaoruhusu mjinga kuwaongoza katika ujinga wake anayefanya maamuzi ya kijinga na wao wakabaki kuujadili ujinga.
 
Familia ambayo haina mkuu wa familia ni shida. Utakuta mabinti wa familia ile wanazalishwa na wahuni na kuachwa solemba, vijana wa kiume wanakua wapagazi na machawa na wengine wanaingia kwenye ushoga baada ya kununuliwa pipi na soda. mama yao analiwaliwa na walevi wa pombe za ovyo.
Hiyo ndio Turkmenistan ya sasa.
 
Back
Top Bottom