PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,521
- 13,110
PICHA DUKA
picha kama ya kuchora. kuku kama katuni, mabawa juu. pia mkamataji; utakimbiaje mbio zote hizo umenyooka pasna kupinda mgongo! hatahivyo ngoja tu shughuli iharibike tu, tuwapende wanyama nao waishi kama sisi.