Aaachwa kisa govi

jerrysonkiria

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
2,228
Reaction score
2,902
Stori za hapa na pale za kuhusu kutemwa na wasichana tulio wapenda na nini kilikuwa chanzo chake,
Nikiwa na wadau wenzangu mara mmoja wetu alianza kutuadithia kisa chake na kusema walipendana sana na mchumba wake na walikaa bila kushiriki tendo(kujamiiana) kwa miezi sita ,siku ambayo alikutana na mchumba wake huyo na kuonekana hajafanyiwa tohara na ndio ulikua mwisho wa mapenzi yao

Jamaa mpaka leo anasema anaogopa kukutana na mwanamke kisa govi.(mkono wa sweta).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…