A word of thanks from my heart

A word of thanks from my heart

huyu alikuwa ni mkeshahoi anaulizia viwanja......
labda uniambie multiple IDs zinahusika hapa........

Hahahahaa kumbe unakumbuka....
Thread zilikuwa mbili....Mkeshahoi akiwa MMU na SS akiwa Chit-Chat....
Ila hakuna tatizo kijana alikuwa na alienjoy sana.....
 
Kinda ask the same qn. Huwezi sema umefika Arusha bila kukutana na hili nyomi plus Mzee wa Rula, liverpoolfc, Msindima, saharavoice et el. Hawa ndo JF Arusha wing bana.......

BTW Sweetlady popote ulipo jibu sms yangu tafazali.... Kabla sijakuchenjia. Blaki womani muda si mrefu ntakupotezea ujue.....!
Ntakupigia kesho kabla jua halijatoka...sms imenifikia mapema ila simu imepata H.I.V...msg hazitoki..


Nisamehe mwaya wewe wajua vile nilivyo mtiifu wa kujibu msg za ODM!
 
Ntakupigia kesho kabla jua halijatoka...sms imenifikia mapema ila simu imepata H.I.V...msg hazitoki..


Nisamehe mwaya wewe wajua vile nilivyo mtiifu wa kujibu msg za ODM!
Nilishakuambia katupe hako kamchainizi kako hutaki....shauri yako oooh
 
huyu alikuwa ni mkeshahoi anaulizia viwanja......
labda uniambie multiple IDs zinahusika hapa........


Hahahahaa kumbe unakumbuka....
Thread zilikuwa mbili....Mkeshahoi akiwa MMU na SS akiwa Chit-Chat....
Ila hakuna tatizo kijana alikuwa na alienjoy sana.....

MH!!!! mbona sijaelewa? you mean MKeshahoi ndio SS? BIG NO...
 
sweetlady, huu ukaribu wako na Erick mi nauona kwa 3D version! Halafu Nitonye anatajwa tajwa, shem cookie anajua haya? Nakusalimia tu mkemwee
Kingasti,..afu si nilikwambia kuwa nimekununia mpaka unipe zawadi ya vekesheni?...

ukaribu wangu na Erickb52 wala usikupe hofu , wewe wajua vile nampenda shemeji ako cookie!.. Erick ni mwana kwaya mwenzangu tunaimba nae misa ya kwanza pale st. Teresia!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom