A volcano in Indonesia produces lava that looks BLUE!

A volcano in Indonesia produces lava that looks BLUE!

Uko sahihi mkuu, kwa chemistry hiyo ya F1, exactly that is what is happening when volcano erupt. Nikuongezee tu kingine ni kicho cha "rocks look yellow" - hiyo ni sulphur (salfa). Kunapotokea volcanic eruptions there are different gases from the magma which includes sulphur dioxide na zingine kama carbon dioxide. Huwezi kuiona sulphur in that blue flame but when the lava cools you can see them as yellowish stuff. Tuishie hapo maana zaidi ya hapo nitakuomba consultancy fee mkuu, ha haahaaaa. All the best.

Umemaliza kila kitu mkuu, hamna cha nyongeza hapo......am sure utakuwa mtu wa kucheza na mawe wewe.
 
mkuu nikisahihishe kidgo...luminous flame inakuwa na yellow flame wakati non luminous inakuwa na blue flamr ambayo huwa haionekani clear ka ile yellow ya luminous flame.....so kwa concept yako apo juu it means iyo ni non luminous na si luminous flame...i stand 2 be corrected however
 
Kama uliwahi kusoma Chemistry F1, kua kitu kinaitwa Bunsen Burner. Chombo hiki huwa kina uwezo wa ku-produce Luminous as well as Non Luminous flames. Kwa observation yangu ya macho naona kama hiyo volcano ni mchanganyiko wa majivu pamoja na Luminous flame!

tena hii ni luminous frame ya hatari..
 
ah...mungu mkubwa!

yawezekana kwa knowledge yangu ya olevl nakumbuka tulisoma impact za valcano ikijumuisha source of natural resources kama madini,source of energy n.k..lakini pia kuna mwalimu wangu wa Jografia alituambia ya semekana miamba ilioko Mwanza na kanda ya ziwa pamoja na lake victoria ni kati ya matokea ya intrusive eruption ya volcan pale mountain Kilimanjaro..kama kunamtu menye kujua au kunikosoa ntashukuru lakini nikati ya vitu au knowledge nilio nayompaka sasa
 
Uko sahihi mkuu, kwa chemistry hiyo ya F1, exactly that is what is happening when volcano erupt. Nikuongezee tu kingine ni kicho cha "rocks look yellow" - hiyo ni sulphur (salfa). Kunapotokea volcanic eruptions there are different gases from the magma which includes sulphur dioxide na zingine kama carbon dioxide. Huwezi kuiona sulphur in that blue flame but when the lava cools you can see them as yellowish stuff. Tuishie hapo maana zaidi ya hapo nitakuomba consultancy fee mkuu, ha haahaaaa. All the best.

Kundelungu , you might be correct to some extent but when it comes to magma eruption the Bunsen burner analogy is wrong. When a volcano spew out molten magma it bring out some dissolved gases too. One of them is hydrogen sulphide gas (H2S).Hydrogen sulphide is slightly heavier than air; a mixture of H
2S and air is explosive. Hydrogen sulphide and oxygen burn with a blue flame to form sulphur dioxide (SO2) and water.Hence your blue flame in those photos is a result of that reaction. However, at high temperature or in the presence of catalysts, sulphur dioxide can be made to react with hydrogen sulphide to form elemental sulfur and water. The yellow rocks visible in the last photography are native sulphur blocks pushed aside by active erupting volcano. This is an elementary volcanology !!!!!!! JF Kisima cha Elimu
 
Ni kweli mkuu,kuhusu teknologia ya picha dunia imehalibika,sidhani kama picha itaendelea kutumika kama ushahidi mahakamani kwa siku zijazo!

Ni kweli mkuu, itabidi ifike mahali picha isitumike kama ushahidi.
 
Kundelungu , you might be correct to some extent but when it comes to magma eruption the Bunsen burner analogy is wrong. When a volcano spew out molten magma it bring out some dissolved gases too. One of them is hydrogen sulphide gas (H2S).Hydrogen sulphide is slightly heavier than air; a mixture of H
2S and air is explosive. Hydrogen sulphide and oxygen burn with a blue flame to form sulphur dioxide (SO2) and water.Hence your blue flame in those photos is a result of that reaction. However, at high temperature or in the presence of catalysts, sulphur dioxide can be made to react with hydrogen sulphide to form elemental sulfur and water. The yellow rocks visible in the last photography are native sulphur blocks pushed aside by active erupting volcano. This is an elementary volcanology !!!!!!! JF Kisima cha Elimu[
Kisima kinaweza kukauka JF ni Bahari ya Elimu,ndio maana naipenda sana jf
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom