A volcano in Indonesia produces lava that looks BLUE!

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
379649_576481132437193_2068506896_n.jpg
 
Yatakuwa madini hayo, wakazoe watapata mupesa.
 
Kama uliwahi kusoma Chemistry F1, kua kitu kinaitwa Bunsen Burner. Chombo hiki huwa kina uwezo wa ku-produce Luminous as well as Non Luminous flames. Kwa observation yangu ya macho naona kama hiyo volcano ni mchanganyiko wa majivu pamoja na Luminous flame!
Teh teh teh!mkuu umeniacha njia panda!
 
Kama uliwahi kusoma Chemistry F1, kua kitu kinaitwa Bunsen Burner. Chombo hiki huwa kina uwezo wa ku-produce Luminous as well as Non Luminous flames. Kwa observation yangu ya macho naona kama hiyo volcano ni mchanganyiko wa majivu pamoja na Luminous flame!

Uko sahihi mkuu, kwa chemistry hiyo ya F1, exactly that is what is happening when volcano erupt. Nikuongezee tu kingine ni kicho cha "rocks look yellow" - hiyo ni sulphur (salfa). Kunapotokea volcanic eruptions there are different gases from the magma which includes sulphur dioxide na zingine kama carbon dioxide. Huwezi kuiona sulphur in that blue flame but when the lava cools you can see them as yellowish stuff. Tuishie hapo maana zaidi ya hapo nitakuomba consultancy fee mkuu, ha haahaaaa. All the best.
 
Mkuu upo vizuri sana,nashukuru kwa kutuelimisha!
 
Mh!basi hii ni hatari sana na hasa ikichanganyikana na maji yanayotumiwa na binadamu!

Ikiingia katika maji ni janga kaka.
Ndio sababu hata Wamaasai wanaoishi jirani na Mlima (Oldoinyo) Lengai wanatahadharishwa kutokunywa maji yaliyo na masalia ya lava inayotokana na volkano ya mlima huo.
 
Elimu juu ya masuala haya ni muhimu sana,kwani mnaweza kujikuta mnapoteza watu wengi sana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom