A True Love Never Ends

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,809
A True Love Never Ends

It was a busy
Morning, about 8:30, when an elderly
Gentleman in his 80's arrived to have
Stitches removed from his thumb.
He said he was in a hurry as he had an
Appointment at 9:00 am .
I took his vital
Signs and had him take a seat,
Knowing it would be over an hour
Before someone
Would to able to see him.
I saw him looking at his watch and
Decided, since I
Was not busy with another patient,
I would evaluate his wound.
On exam, it was
Well healed, so I talked to one of the
Doctors, got the needed supplies to
Remove his sutures and redress his wound.

While taking care of
His wound, I asked him if he
Had another doctor's appointment
This morning, as
He was in such a hurry.

The gentleman told me no, that he
Needed to go to
The nursing home to eat breakfast
With his wife. I inquired as to her
Health.

He told me that she had been there
For a while and that she
Was a victim of Alzheimer's Disease.

As we
Talked, I asked if she would be
Upset if he was a bit late.

He
Replied that she no longer knew
Who he was, that she had not
Recognized him in
Five years now.

I was surprised, and asked him,
'And you still go every
Morning, even though she
Doesn't know who you are?'

He smiled as he
Patted my hand and said,

'She doesn't
Know me, but I still know who she is.'
I had to hold back
Tears as he left, I had goose bumps
On my arm, and thought,

'That is
The kind of love I want in my life.'

True love is
Neither physical, nor romantic.

True love is an
Acceptance of all that is,
Has been, will be, and will not
Be.

With all the jokes
And fun that are in e-mails,
Sometimes there is one that comes
Along that has an
Important message..
This one I thought I could share with you.

The
Happiest people don't necessarily
Have the best of everything;
They just make
The best of everything they have.

I hope you share this with someone you
Care about. I just did..

'Life isn't about
How to survive the storm,
But how to dance
In the rain.'

We are all getting Older
Tomorrow, it may be our turn.

X-Pasteraaaaaaaaaaaaaaaa

Hujanitendea haki bana mpaka nitafute kamusi........................

Ngoja nisubiri tafsiri kidogo mie kidhungu not reachable bana
 
X-Pasteraaaaaaaaaaaaaaaa

Hujanitendea haki bana mpaka nitafute kamusi........................

Ngoja nisubiri tafsiri kidogo mie kidhungu not reachable bana

angalau mwenzangu kama unaweza kujipiga taff kwa usaidizi wa kamusi. Mm hapa inabidi nikatafute mkalimani ndo nijuwe hicho kilichokusudiwa
 
X-Pasteraaaaaaaaaaaaaaaa

Hujanitendea haki bana mpaka nitafute kamusi........................

Ngoja nisubiri tafsiri kidogo mie kidhungu not reachable bana

Tafasiri Hisio rasmi
Upendo wa kweli Hauna Mwisho (haumaliziki)

Ilikuwa ni asubuhi yenye harakati nyingi, muda wa saa 2:30 asubuhi, wakati wazee mwenye kuonekana ni muungwana akikaribia miaka 80 alifika ili kuondoa nyuzi kwenye kidole gumba.
Alisema alikuwa na haraka na anataka kuwahi mihadi yake muda wa saa 3:00 asubuhi.

Mimi nikamuchukulia kwa umuhimu mkubwa na nikamuelekeza kuketi kitini, kwa sababu nilijua itamchukua zaidi ya saa moja kabla ya mtu mwingine kuja kuonana naye.

Aliangalia saa yake, nikaona kwa sababu sina shughuri ya kuhudumia mgonjwa mwingine, naweza kutathmini jeraha lake. Nilipo liangalia nikakuta linaendelea vema, hivyo basi nikaongea na mmoja wa madaktari, ili kuchukua vifaa vinavyo itajika kuondoa mshono kisha nikavisha bendeji jeraha lake.

Wakati namuhudumia jeraha lake, Nilimuuliza kama alikuwa na mihadi na daktari mwingine Asubuhi hii, sababu alikuwa na haraka hivyo.

Yule Mzee aliniambia hapana, alikuwa anahitajika kwenda nyumbani ya uuguzi kula kifungua kinywa na mkewe. Nikauliza kuhusu Afya yake.

Akanambia kuwa yuko uko kwa muda sasa na ni mwathirika wa ugonjwa sjukdom (Kusahau).

Tulipokuwa tukiongea, nikamuuliza kama mkewe atajisikia vibaya kama atachelewa japo kidogo.

Akanijibu kuwa mkewe keshamsahau yeye ni nani na wala hawezi kumtambuwa tena, na ni miaka mitano sasa.

Nilishangazwa, nikamwuliza, "Na bado unakwenda kila asubuhi, ingawa yeye hakukumbuki kuwa wewe ni nani? '

Alitabasamu uku akinipigapiga mkono wangu na kusema, Hanitambui tena, lakini mimi bado namtambua yeye nani kwangu.'

Ilinibidi kuzuia machozi yasinitoke kwa msisimko wa mwili na mkono wangu.

Nikawaza, 'Huo ndio upendo ninayo utamani maishani mwangu. Upendo wa kweli si mapenzi ya kimwili au kimahaba.

Upendo wa kweli ni Kukubali hali zote, itakavyokuwa na isivyokuwa.

Pamoja na utani na furaha zote katika barua pepe, Wakati mwingine mtu analeta ujumbe muhimu...

Nami nimeona bora kukutumia ujumbe huu.

Watu wenye furaha si lazima wawe na kila kitu kilicho bora kwenye kila kitu; Wao uona kilicho bora kwa kile kitu walicho nacho.

Natumaini nawe utamtumia yule unaye mjali.

Mimi nishafanya...

'Maisha si kustahamili tu dhoruba,
Bali ni kujua kucheza na mvua.'

Sisi sote tuta zeeka,
kesho yaweza kuwa zamu yetu.

Dena Amsi kilio chetu kimesikika. Nimefurahi kwa hilo.
Nilichokiaona ktk hadithi hii ni kuwa thamani ya mtu haiji ktk kupendwa tu bali hata ktk kuonyesha upendo wa dhati kwa yule aliyekuwa naye kimapenzi tokea awali.
Wengi ktk hili hufeli kwani baada ya mwenza kupata ugonjwa ambao ni hakika kuwa hatopona, basi huanza kuvunjika moyo kuendelea nae na hatimae humtupa kabisaa.
 
Thanks for this inspirational story, I wanna share with y'all two verses about love from the bible.

Love never ends. As for prophecies,
they will pass away; as for tongues,
they will cease; as for knowledge,
it will pass away.

1 Corinthians 13:8

And now these three remain:
faith, hope and love. But the
greatest of these is love.

1 Corinthians 13:13
 
Ndio maana huwa sipendi ku-ignore movies!!
Sasa huo ni mkasa wa kweli, ila ukiambiwa ni movie utasema haiwezekani....
Kweli "mapenzi ya kweli hayana mwisho"
NAKUBALI
 
True love never ends,thanx 4 a useful post, tusifurah tuu ,tujifunze kitu pia.thanx once again.
 
x paster wallah katika siku ulizonifurahisha leo ya kwanza sasa signature yangu ishapanda chati hehehhe dat's true,,,(true love never die),,,nice storry,,,
 
Indeed! True Love never ends. What a wonderful message! Thanks Mkuu for sharing.
 
I love this, very inspirational. It will be the first thing my bby reads when she wakes up today.
 
Tafasiri Hisio rasmi
Upendo wa kweli Hauna Mwisho (haumaliziki)

Ilikuwa ni asubuhi yenye harakati nyingi, muda wa saa 2:30 asubuhi, wakati wazee mwenye kuonekana ni muungwana akikaribia miaka 80 alifika ili kuondoa nyuzi kwenye kidole gumba.
Alisema alikuwa na haraka na anataka kuwahi mihadi yake muda wa saa 3:00 asubuhi.

Mimi nikamuchukulia kwa umuhimu mkubwa na nikamuelekeza kuketi kitini, kwa sababu nilijua itamchukua zaidi ya saa moja kabla ya mtu mwingine kuja kuonana naye.

Aliangalia saa yake, nikaona kwa sababu sina shughuri ya kuhudumia mgonjwa mwingine, naweza kutathmini jeraha lake. Nilipo liangalia nikakuta linaendelea vema, hivyo basi nikaongea na mmoja wa madaktari, ili kuchukua vifaa vinavyo itajika kuondoa mshono kisha nikavisha bendeji jeraha lake.

Wakati namuhudumia jeraha lake, Nilimuuliza kama alikuwa na mihadi na daktari mwingine Asubuhi hii, sababu alikuwa na haraka hivyo.

Yule Mzee aliniambia hapana, alikuwa anahitajika kwenda nyumbani ya uuguzi kula kifungua kinywa na mkewe. Nikauliza kuhusu Afya yake.

Akanambia kuwa yuko uko kwa muda sasa na ni mwathirika wa ugonjwa sjukdom (Kusahau).

Tulipokuwa tukiongea, nikamuuliza kama mkewe atajisikia vibaya kama atachelewa japo kidogo.

Akanijibu kuwa mkewe keshamsahau yeye ni nani na wala hawezi kumtambuwa tena, na ni miaka mitano sasa.

Nilishangazwa, nikamwuliza, "Na bado unakwenda kila asubuhi, ingawa yeye hakukumbuki kuwa wewe ni nani? '

Alitabasamu uku akinipigapiga mkono wangu na kusema, Hanitambui tena, lakini mimi bado namtambua yeye nani kwangu.'

Ilinibidi kuzuia machozi yasinitoke kwa msisimko wa mwili na mkono wangu.

Nikawaza, 'Huo ndio upendo ninayo utamani maishani mwangu. Upendo wa kweli si mapenzi ya kimwili au kimahaba.

Upendo wa kweli ni Kukubali hali zote, itakavyokuwa na isivyokuwa.

Pamoja na utani na furaha zote katika barua pepe, Wakati mwingine mtu analeta ujumbe muhimu...

Nami nimeona bora kukutumia ujumbe huu.

Watu wenye furaha si lazima wawe na kila kitu kilicho bora kwenye kila kitu; Wao uona kilicho bora kwa kile kitu walicho nacho.

Natumaini nawe utamtumia yule unaye mjali.

Mimi nishafanya...

'Maisha si kustahamili tu dhoruba,
Bali ni kujua kucheza na mvua.'

Sisi sote tuta zeeka,
kesho yaweza kuwa zamu yetu.

Dah yaani ninakushukuru kweli my dear!!!!

Sijawahi kutendewa hivi asante sana nimeelewa sasa kidhungu shida kweli.

Hii imetulia kabisa "UPENDO WA DHATI/KWELI" NI MUHIMU SANA
 
What is that 'true love' ndugu zangu?

Love is well planned/framed strategies that someone feels it anable her/him to live a desired life.

Now it (Love) comes on fire when time doesnt match with this desired life hapo kimbembe kinaanza
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom