A true friend....

A true friend....

Ambassador

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2008
Posts
933
Reaction score
77
Friend.jpg
 



Sasa mbona amemchelewesha,pale alipokuwa amelala kwenye sofa ndo ilikuwa sehemu nzuri ya jamaa ku take over,huku akimwambia as a true friend I can show you how sweet you are...............
 
Jamaa naona kaamua kujimiminia mabarafu 'sehemu sehemu' ili kutulie! Hivi huyu anaweza kukushatki ati umembaka:A S tongue:?
 
:laugh::laugh::laugh::clap2::clap2::clap2::first:
 
Jamaa bonge moja la zoba yaani kashindwa hata kuaply udikteta?
 
Jamaa nae ni lofa, sa ameshindwa vipi tumfataki pale kwenye sofa!
 
Huyu kaka ni St. somebody,
Manake si rahisi, mitego ya ukweli hivo afu anajitaidi kushinda.
 
urafiki una mipaka yake. Kuwa na rafiki wa kike si lazima muwe mnananihii. Ingawa sisi watanzania tumejizoesha vibaya. Haina maana kuwa rafiki yako wa kike, I mean not your lover, umtamani hata kama tayari una mpenzi mwingine. Wake up guys!! it's time to use your brains potentially!!
 
Back
Top Bottom