Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,260
Ni wk sasa niko Arusha kikazi zaidi. Sikujua jiji hili ni kubwa hivi. Mji mzuri na umejengeka kweli. Dar iko hati hati ya kupigwa chini na jiji la machalii. Club bomba, kuanzia triple A, masai club, babylon, club AQ n.k. Jana nilikuwa aq club. Hali ya hewa bomba. Arusha ni bomba sema tu vitu bei juu sana. Natamani kuwatafuta pj na preta ila muda ni unabana. Karibuni a town
Karibu wewe, sisi wenyeji. Ukrudi utokako wapelekee hz cfa za A'city ili na wao waje kupatembelea! Krb sn.
Nko pande za mianzini, ushapita hapo???kumbe na wewe ni mwenyeji wangu? Unapatikana pande zipi unitoe tongotongo zilizosalia?
MR mi nakualika breakfast kesho.Aisee uko wapi nikualike japo dinner :A S 465::A S 465::A S 465:
Eti wakuu R chuga ni mdudu gani, nasikia hili neno sana mtaani!!
Hujambo binti?katavi hata mm natamani kujua R chuga ni nini? 😕
Aisee uko wapi nikualike japo dinner :A S 465::A S 465::A S 465:
karibu a cty kribu mianzini ule japo nohha (nguruwe) man
Mkuu usiondoke kabla ya kupata kitu cha utumbo wa kuchoma mazee, kapate na samaki foil pale niks' pub njiro!
Halafu mtafute pj akupe kikombe, ni authorized dealer wa babu wa loliondo.
Mkuu usiondoke kabla ya kupata kitu cha utumbo wa kuchoma mazee, kapate na samaki foil pale niks' pub njiro!
Halafu mtafute pj akupe kikombe, ni authorized dealer wa babu wa loliondo.