A tour with a girl

Yes man, thanx for elaboration, anyway in brief ni mtu napenda sana nature na ku-travel, so briefly mambo haya yanawezekana just hofu ya watu wengi. Swala la kulala kitanda kimoja, mm kwangu siko interested unless atake yeye. Usafiri akipenda tutumie public transport no prob.
 
This is just a tour, ndugu zangu i do help them whenever wakitaka, am always busy with my work so always huwa nakuwa na mitoko every year. The other time i went to Entebbe, Eldoret, Butare and Kigali, Lubumbashi na kwingineko. It is just hobby brada....
 
asiwe mlevi au mnywaji wa pombe??
kama nakunywa kestro light tisa per day na silewi...mi ni mlevi au mnywaji tu??
 
Vp akija mke charming na mmewe ila mme akae kiti cha nyuma....pia kuna wanaume wako charming kuliko hata huyo msichana unayetaka kwenda nae...vp nao hawa hawana lao??????????????? Jibu faster nikupe mautundu zaidi ndg Decentman
 
Nimeipenda hii mada, imetoka kitofauti kidogo. Ila ina majibu mengi kuliko maswali....
 
Vp akija mke charming na mmewe ila mme akae kiti cha nyuma....pia kuna wanaume wako charming kuliko hata huyo msichana unayetaka kwenda nae...vp nao hawa hawana lao??????????????? Jibu faster nikupe mautundu zaidi ndg Decentman

Aaaahahaha, ww naona ndo mtundu zaidi ebu sema unafanyaje hapo??cha muhimu tour inoge but kanuni zizingatiwe aaahahaha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…