A super woman

Hata kwetu uchagani wanawake ndiyo wanachakarika kuliko wanaume..wanaume wengi hawaendi shambani kabisa wanadai hawawezi kulima..shambani anaenda mama na watoto + majukumu mengine kama kukatia ng'ombe na mbuzi majani
Haendi shamba basi atoe hela ya uniforms za watoto au ndiyo mwanaume suruali?
 
 
Hapo njemba unaweza kuta lipo limella au linapiga mataputapu
Sijui kwanini nami nimewaza hivyohivyo. Huyu lazima ana boonge la irresponsible man, lileviiii.
 
Tafuta hela acha ulofa ww sio mnyama wa porini ndo mana ukapewa ufaham na akili, endelea kusubiri kuletewa utapigiwa mkeo mpaka ukome
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…