A super woman

Afu huwezi amini ,niliwai fika kijiji kimoja na wanawake wanaona kawaida ..yaani anaona ni kama part ya kawaida katika majukumu yake
Ndio ilivyo hata kule kwetu umasaini wanawake ndio wanajenga nyumba
 
Kuwapata wake kama hawa huwa ni adimu sana sio rahisi, wapo wengi wanaotaka uwape hela ya uba au uwanunulie IST ili wawe wanaenda kupeleka umbea ma saluni, kupiga misele kwa marafiki na kula chips kuku
Sasa Mkuu kwani mjini kuna mashamba?
 
Sky sisi ambao tumekuzwa na wanawake wa hivyo tunaombea wadogo zetu waige basi hata 20% ya uchakarikaji wa mama zetu.

Lakini wapi.
Zama zinabadilika na si ajabu ukakuta hao wadogo zako malezi waliyoyapata hayafanani na uliyoyapata wewe enzi hizo.

Sa wataiga saa ngapi hapo?
 
Mmh bure kabisa.
 
Wanyama wengi wana mtindo huo lakini simba ndio katia fora
 
Hivyo vingine vyote vinawezekana ila kwa hilo dishi hapo kichwani ni kutia chumvi
 
shida ya wanawake waliozaliwa mjini
lakini kwetu vijijini kuna issue ni kawaida tu katika jamii wanawake kufanya
kutokana na mazingira husika na tamaduni,
Haina maana kuwa mwanamke ananyanyaswa no ila wanaume wanapiga kazi na wanawake wanapiga kazi pia
sema jambo kubwa ni jamii husika

Leo hii ukienda sehemu fulani utaona mwanamke kama anateseka ukija dar utaona mwanaume kama anateseka
kila eneo lina tamaduni zake mambo ya majukumu ya familia

Kama hapo sijaona u super woman uko wapi, wakati ukienda kyela huko mwanamke kafunga debe 5 za mpunga anaenda kukoboa
ukienda tukuyu mwanamke kajitishwa debe 3-5 za mahindi anaenda kukoboa, na ukiwaona hutesemi ni super woman ni majukumu ya kawaida kabisa ya kila siku
sasa kuendesha baiskel nakupakiza watto hivyo nikawaida kwa jamii zinazoendesha baiskeli
super woman labda wale wabibi wapale mbezi stand wanauza karanga kwenye magari afu waume zao wamekaa vijiwe vya kahawa
 
Hata kwetu uchagani wanawake ndiyo wanachakarika kuliko wanaume..wanaume wengi hawaendi shambani kabisa wanadai hawawezi kulima..shambani anaenda mama na watoto + majukumu mengine kama kukatia ng'ombe na mbuzi majani
 
Nonsense!
 
Hahahaha hahahaha huo ujinga bora umeishia kwenye hilo kabila .....huku kwetu tungeuwana kwa sumu bure
 
Hahahaha hahahaha huo ujinga bora umeishia kwenye hilo kabila .....huku kwetu tungeuwana kwa sumu bure
Haha na wanawake wa kule wameridhika kabisa aisee, my sister alikuwa ananiambia hili sio kabila
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…