A super woman

Duuh! Kwa kweeli.

Japo nawaza njia anayopita ikitokea kuna mteremko sijui itakuwaje. Maana hilo beseni hapo kichwani sijui kama litabaki salama.
Tehteh..naona enzi zako ni za tape water kwa Jacuzzi mpendwa.
 
Kuwapata wake kama hawa huwa ni adimu sana sio rahisi, wapo wengi wanaotaka uwape hela ya uba au uwanunulie IST ili wawe wanaenda kupeleka umbea ma saluni, kupiga misele kwa marafiki na kula chips kuku
 
Wanyiha na wandali
Ni kweli aisee wanyiha kawaida baba anakuwa na shamba la kahawa au mahindi, wanaohusika kufanya kazi humo ni wake zake na watoto lakini hata kama ni mahindi hayahusiki kwenye chakuka....mambo ya chakula ndani ni jukumu la mama, ila wakivuna kahawa wakalipwa wanagawiwa pesa
 
Huw kuna mgao kumbe mana me najua wanapiga kazi kwa manufaa ya familia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…