Hapo njemba unaweza kuta lipo limella au linapiga mataputapu
Kuna baadhi ya mkabila wanawake ndo watafutaji wanaume watumiaji kama kabila moja hivi songweAfu huwezi amini ,niliwai fika kijiji kimoja na wanawake wanaona kawaida ..yaani anaona ni kama part ya kawaida katika majukumu yake
Na mavuno yakipstikana mwanaume anauza ili apate mahari ya kuoa mke mdogo.
Kuna baadhi ya mkabila wanawake ndo watafutaji wanaume watumiaji kama kabila moja hivi songwe
Kaka unamaanisha hawa slay queens au??Sky sisi ambao tumekuzwa na wanawake wa hivyo tunaombea wadogo zetu waige basi hata 20% ya uchakarikaji wa mama zetu.
Lakini wapi.
Kabila gani hilo?Kuna baadhi ya mkabila wanawake ndo watafutaji wanaume watumiaji kama kabila moja hivi songwe
Huku kijijini hatujafikia kuwaita hilo jina ila wanakuja kwa kasi mijini...wanatuacha wenyewe huku.Kaka unamaanisha hawa slay queens au??
Huyo ndo wife material sasa.Duuh huyo ni super human
Yah tena mtoto mkubwa ndiyo anakuwa msaidizi wa mama. Anafundishwa kupika regardless the gender ili wadogo zake wale mama akiwa analima.Sky sisi ambao tumekuzwa na wanawake wa hivyo tunaombea wadogo zetu waige basi hata 20% ya uchakarikaji wa mama zetu.
Lakini wapi.
Sawa..Huyo ndo wife material sasa.
Na ubishoo wako najua huwezi oa mwanamke wa aina hiyoHuyo ndo wife material sasa.
Sema sisi tulifundishwa kukamua...Yah tena mtoto mkubwa ndiyo anakuwa msaidizi wa mama. Anafundishwa kupika regardless the gender ili wadogo zake wale mama akiwa analima.