A story of mr. Sing and mr. Mwarabu

Angel Nylon

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
8,317
16,485
Kulikuwa na marafiki wawili, very best. Kilaa pahala walikua wako pamoja, bt tatizo la hawa mabwana walikua wanapenda kuoneshana kwamba kila mmoja kamshinda mwenzake kwa ujuaji. Siku 1 Mr. Sing alimwambia Mr. Mwarabu km anaweza kumnyonya ziwa mke wa mfalme tn mbele ya mfalme mwenyewe na watu wengine wakishuhudia, Mr. Mwarab akamwambia haiwezekani. Walishindana sn, mwisho Mr. Sing akamwambia tulia rafiki yangu utaona mwenyewe.
Basi siku hio Mr.sing akatafuta nnge mzima na kupanga na mtumishi wa malkia ktk upande wa mavazi amuwekee malkia yule nnge ktk sidiiria yake na akamwambia asijali atamlipa vizuri.
Basi yule mtumishi akafanya km alivyofahamishwa, basi wkt wa kuvaa nguo ike kuvaa sidiria tu malkia akang'atwa na yule nnge. Si kelele hizo, 'mamaaaaa nakufaaaa, nge, nge kantafuna ziwa nakufa mie.' Mfalme kuskia kahamanika, ikabidi atangaze mbiombio km kuna mtu anaweza kumpatia dawa mkewe ajitokeze na atamlipa.
Si ndo Mr. Ing akajitokeza, 'mie naweza lkn itaabudu atoe ziwa lake nilione ndo ntapatia dawa.' malkia ndo hana jinsi ikabidi atoe ziwa, Mr. Sing akaanza kumpapasa na kunyonya ziwa la malkia ile sehem alotafunwa. Malkia alijskiaa raha mpk maaumivu yakatoweka.
Mfalme akatoa bahshishi na kumlipa Mr. Sing.
Mr. Mwarabu kuona vile, akakasirika na kuona kwa nn rafiki yake kamshinda na kafanikisha alilolitaka. Hapohapo na yy akafikiri namana ya kulipa, basi wacha apige kelele, 'yallah, nakufaaa, nge, nge jamani, kanitafuna hukuuu' na huku kashikilia sehemu zake nyeti. Mfalme ikabidi atoe amri hapohapo kwa Mr. Sing amyonye Mr. Mwarabu kwa bwamkuu wake ili na yy amtibu.
Mr. Sing hakuwa na jinsi ilibidi ashike bwamkuu wa rafiki yake na amnyonye mpk maumivu yaishe.
Aisee, urafiki ulikufa siku hiohio.
Happy new year , love u all.

Mr
 
Mr Singh vp bado anaendelea kutoa dawa ya kuondoa maumivu ya nge?mwarabu alikuwa anamtafutia njia ya kumgeuza mr singh mapoozeo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom